Nyara Nyara Lyrics by Wakadinali
Yoh!
Free hustle man
Free hustle man
F4ck lockdown
Big Beats Afriq Afriqa!
Wakadinali au sio
Peng ni ayela na gang ilimnyora
Design ya nyara nyara nyara
Mraa tunairun bila haya
Na gut ni kilalo ya jana
Jokes on you mnatupima
Liars, manze hio ni nini mnafanya?
Mavedi walipumua fire, Huh!
Exactly niliwadanganya
Warazi walipumua fire, Huh!
Exactly niliwadanganya
Peng ni ayela na gang ilimnyora
Design ya nyara nyara nyara
Mavedi walipumua fire, Huh!
Exactly niliwadanganya [Eeh!]
Warazi walipumua fire, Huh!
Exactly niliwadanganya
Yoh!
9 Months unatry kudeliver
Hatukuonei huruma ukuwe unless, una mimba
Ngwai East imepeleka vijana wengi Inda
It's high time Kenya ikuwe legal
Ni heri uangushe kinde CBD njoka
wako rada, ukikojoa watakushika
Mr. at least try jo kubehave
Staki damu imwagikie my lean and T-Shirt
Naskia mnanitafuta Huh! mpaka
mnanifuata kwa duka
Stepper mi hukanyaga kubwa
Ukikuja sana, perhaps utakulwa
Unafaa kujua nani ndo kushuta
Before kunukishai hii mtaa unavweza chuta
Mbepa si hufungia gunga
Hakuna ni Sunday mzae jo amefunga
Mi huflip ka beats za Afriqa
Niliwaachia Hiphop siku hizi man a driller
Mabiz za mpini si hupiga
Kwani si ata judge alipardon’ killer
Splash Splash tukifika
Itoka inaspark ma opp wanaitika
Trap trap to sad tisa ni mboka
Nilikuwa hapo hio jogoo ikiwika [trap trap]
Nimeona Subri ikinipita
Think kwa hio rounda scene ilipigwa
Bruce iliskika street iliwika
Black alikam akanyambisa [Bruce]
Naskia mi mchafu spitter
Ni ka mi huandika hizo ngoma kwa pipa [Skia]
Kudus informer though hawakunipata
Nilikuwa na operate na Bipa [kudus]
Peng ni ayela na gang ilimnyora
Design ya nyara nyara nyara
Mradi tunirun bila haya
Na gut ni kilalo ya jana
Jokes on you mnatupima
Liars manze hio ni nini mnafanya?
Mavedi walipumua fire, Huh!
Exactly niliwadanganya
Warazi wcalipumua fire, Huh!
Exactly niliwadanganya
Peng ni ayela na gang ilimnyora
Design ya nyara nyara nyara
Mavedi walipumua fire, Huh!
Exactly niliwadanganya
Warazi walipumua fire, Huh!
Exactly niliwadanganya
Kuna venye Covid naitii kitu moja
Daily coro 19 nilinona
Cyber wronging in different location
Wolan tunaicduingi normal
Fake kings nazidi kuwawinda
Ka ulidhani hio ilikuwa mechi gwan, hii ndo dimba
Peng ni ayela msupuu
Mans na Domani naishi life bila filters
Sina hadi maarifa
Mi nilidhani shore nilikuwa nabonga
naye Insta ni Risper
Nikihama mi huenda na kamba za nguo
wish ningekuwa KPLC
Arif ilikuwa MCA, sai ni MP anarepingi Westy
Sikumeet huyo msichana no no
Nilidate hio vigina
Ndoch uni manzi mechu
Ushaimwanika kwa mneti hapana
I was high in skul man a driller
Tangu enzi za Insyder
Nina ndoto ya maziwa mrefuu
Inaweza lipa debts zote za Mchina
Watch what you are talking kwa port
Timeline yako ina TikTok
Nina maboyz Kise huko Ngong
Walipanua riko sai wanamanufacture Richot
Peng ni ayela na gang ilimnyora
Design ya nyara nyara nyara
Mraa tunairun bila haya
Na gut ni kilalo ya jana
Jokes on you mnatupima
Liars manze hio ni nini mnafanya?
Mavedi walipumua fire, Huh!
Exactly niliwadanganya
Warazi walipumua fire, Huh!
Exactly niliwadanganya
Peng ni ayela na gang ilimnyora
Design ya nyara nyara nyara
Mavedi walipumua fire, Huh!
Exactly niliwadanganya
Warazi walipumua fire, Huh!
Exactly niliwadanganya
For real!
Heri nitokee siwezi kukutusi, Twitter mimi
OCs OCs alisema tupotee, na tusiwahi rudi mijini
Wanainita Dangote, na mi sijui kwanini
Nyonginyo zangu zinatee, siku hizi
Hata nikiwa kwako, mimi
Hii tenje ipotee nishakuwa Hoodini
Sanse atokee hii ngwai, haizimwi
Mi sinanga Fee bado najiamini
When you see me better hashtag, easy?
Deep down they Wanna be me
Hii mtaa chini ya maji niko na dini
Rhyme Gym Rong Rende ndani ya building
Combine kila rapper Kenya ndio, unimake mimi
Wakiniona ni rizla na ganja
Nikishawachoma, girimba narambwa
Mama mboga anachezaga na rada
Alinicall akanishow safisha unasakwa
Ju nina niggaz waliiba na ALBAB
Pandishaga middle finger kwa media na cover
Vijana walikosa riba na rada
Ilikuwaga ni mchana
wakikimbiza mambang'a
Sio easy getting this shilling
Me na bro kitchen we be distilling
Yeah! I told you if you see me, you see me
I was not there but they gave you the same feeling
Undercover Google Search
Undercover msupa acheze bubu tukif"ck
Ka anakanja crew inakam
Wakiletaga ujanja crew inakam kuburn
OFF Their ALBUM #VICTIMSOFMADNESS#NDANIYACOCKPIT3 COMING UPProduced by @AFRVKA BEATZAudio: mixed /mastered by Ares66 at BigBeatsAfriq
Comments