Stivo Simple Boy - Mapenzi Ya Pesa Lyrics

Stivo Simple Boy - Mapenzi Ya Pesa Lyrics

Intro

Helloo, 
Tunapigia kutoka kwa radio uipandayo,
"Aya nimeshinda?"
[ Made In Kibera Production]

Tafadhali punguza sauti ya redio ili tuweze kuwasiliana.
Je unadhani mapenzi bila pesa inawezekana?
"Unajua mapenzi ya pesa hizi bana kama hauna...."
 Samahani huyo tumempoteza... 
[ Phlexible]
Ndio manake!

Chorus

Mapenzi ya pesa ni balaa la
Mapenzi ya pesa ni karaa ra
Mapenzi ya pesa ni balaa la
Mapenzi ya pesa ni karaa ra

Mapenzi ya pesa ni balaa la
Mapenzi ya pesa ni karaa ra 
Mapenzi ya pesa ni balaa la
Mapenzi ya pesa ni karaa ra

Verse 1

Siku hizi mapenzi imekuwa ni Kama biashara
Kuchezeana akili Kama paka na panya
Hakuna love Kama hauna mkwanja
Na ukizipata ni sherehe na furaha
Napata kichuna, kwa kweli amenuna
Kumuuliza shida gani ashanivuta
"Hey! Simple boy, mimi nakuzimia, Mimi nakupenda, tena nakutaka"
Kama jackpot, nilidhani nimeangukia
Nikamuambia Sina hela, akaniambia mapenzi bila pesa haiwezekani
Kanyaga kiatu kijana samahani
Kama maji kwa mtungi nilitulia tu!
Mapenzi si ya pesa ni ya wawili tu!
Anayekupenda, pendana naye tu!
Asiyekupenda, achana naye tu!

Chorus
Mapenzi ya pesa ni balaa laa
Mapenzi ya pesa ni karaa raa 
Mapenzi ya pesa ni balaa laa
Mapenzi ya pesa ni karaa raa

Mapenzi ya pesa ni balaa laa
Mapenzi ya pesa ni karaa raa 
Mapenzi ya pesa ni balaa laa
Mapenzi ya pesa ni karaa raa

Verse 2

Ukiwa na pesa, wewe ni Kama dhahabu
Utawavutia ata wasio kufahamu
Utapendwa hadi na maadui 
na ukisota hawakujui, hawakutambui
Ukipita utasifiwa wewe ni baba yao
Kama hauna kakiru watakudharau
Utadhani ni walimu vile wanakusomea
Weh!ilishauma na nikazoea
Unampenda juu ya dollar na dollar ikiisha unaanza kuteseka
Ye ni sura mbaya kwa wenzako utasema
Hana ngongingo, mwanaume ashapayuka
Kwa nyumba ni vita tu, hakukaliki tna
Kama maji kwa mtungi nilitulia tu
Mapenzi si ya pesa ni ya wawili tu!
Anayekupenda pendana naye tu!
Asiyekupenda achana naye tu!

Chorus

Mapenzi ya pesa ni balaa laa
Mapenzi ya pesa ni karaa raa 
Mapenzi ya pesa ni balaa laa
Mapenzi ya pesa ni karaa raa

Mapenzi ya pesa ni balaa laa
Mapenzi ya pesa ni karaa raa 
Mapenzi ya pesa ni balaa laa
Mapenzi ya pesa ni karaa raa
Rrrrrrrrrrrr ra

The Music video
The captivating 3 minute " Mapenzi Ya Pesa" music video features Stivo Simple Boy and KiCA Theatre group actresses Maylis Kilonzo and Fernanda Almarza. 
A wealthy white woman [Fernanda Almarza] falls in love with a young African man [ Stivo Simple Boy] who sells bananas in the street, she invites him to her home where she notices strange behaviors from the man who got into this relationship not for love but for financial benefit in order cater for his African girlfriend [ Maylis Kilonzo] whom he strongly loves, the white woman throws him out of her house after finding out that the man is cheating as well as stealing money from her. 

Fernanda Almarza is a nurse, midwife and improvisation actress from Chile working in Kenya with the Maisha Foundation, where they support any pregnant women in challenging situations.  

PRODUCTION TEAM:
Director: Geoffrey Oyoo
Director Of Photography : Patricia Khavugwi
Editor: Geoffrey Oyoo
Production Designer: Aysha Amir
Production accountant: Simon " Kachwani" Sikote
Lighting: Leonard Abiero
Playback Sound: Giddy Keys 
Script: Erick Mutunga, Franklin Orlando
Radio Voice Over: Lavasta Bonia, Fire Yedema
Production House: Made In Kibera Production

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form