Chocolate Lyrics By Willy Paul (Clean Edit)
Mmmmmh!
POZZEE!
“SALDIDO”
Aaaaah! Aa!
Kama we kitanda mi ndio kwichi kwichi
Ah Tamu halua jigi jigi
Si ting badi malo niku gidi gidi
Hey kama we kitanda mi ndo kwichi kwichi
Tamu halua jigi jigi
Ting badi malo niku gidi gidi Eeeh!
Wanasema, kibaya cha jitembeza
Wanasema, kizuri chajiuza
Umeniwacha mdomo wazi, namwaga mate
Na ukamtoa nyoka pangoni,
Eeh! Eeeh!
Usije nizingua
Ooh! Unanipa furaha isio na kifani Oh!
Unanipa furaha isio na kifani Oh!
Furaha isio na kifani yoh!
Mashallah!
Ooh! Unanipa furaha isio na kifani Oh!
Unanipa furaha isio na kifani Oh!
Furaha isio na kifani yoh!
Mpenzi wewe ni, chocolate
Oooh baby, chocolate
Wewe ni, Chocolate
Mmmmh! Oh! Mammy Chocolate
Aaaaah! Chocolate
Oooh! baby, chocolate
Chocolate
Oooh! Mammy Chocolate
Baby hata kwenye Okada, mi nitakubeba
Na wenye roho mbaya wataona mbaya, wataona fire
Jameni mapenzi kivuruge, ee! Inavuruga
Kimenikata maini, mwezenu hata siamini
Mapenzi inachanganya
Mpaka Matonya anaimba Violeti
Inachanganya, mpaka mwenzenu naimba chocolate
Changanya-aa, mpaka na Chibu anaiba Jeje Jeeh!
Na Kiba Aje
Niganye aje? Eeh! Eeh!
Ooh! Unanipa furaha isio na kifani Oh!
Unanipa furaha isio na kifani Oh!
Furaha isio na kifani yoh!
Mashallah!
Ooh! Unanipa furaha isio na kifani Oh!
Unanipa furaha isio na kifani Oh!
Furaha isio na kifani yoh!
Mpenzi wewe ni, Chocolate
Oooh! baby, Chocolate
Wewe ni, Chocolate
Mmmmh! Oh! Mammy Chocolate
Aaaaah! Chocolate
Oooh! Baby, Chocolate
Chocolate
Oooh! Mammy Chocolate
Ooh! Unanipa furaha isio na kifani Oh!
Unanipa furaha isio na kifani Oh!
Furaha isio na kifani yoh!
Mashallah!
Ooh! Unanipa furaha isio na kifani Oh!
Unanipa furaha isio na kifani Oh!
Oooh! Ooh! Baby tamu Chocolate
Oooooh! Ooh! Baby tamu Chocolate Ooh!
Eeeeh! Eeh!
Oooooh! Oooh! Oooh! Baby tamu Chocolato
Heeeey! Heey! Heeey!
Baby tamu Chocolato
#WillyPaul #saldidointernational #chocolate
Artist : Willy Paul
Song : Chocolate
Composer : Willy Paul
Video Queen : Amberay
Producer : Sav Beat
Mixed and Mastered by : Teddy B
Record label : Saldido international