Gin Ama Whiskey Lyrics By Breeder LW X Mejja
Utakunywa gin ama whiskey? [Mcheeew]
Napenda nikiwa tipsy
Utakunywa gin ama whiskey?
Yoh! Bazenga
(The beat killer)
Utakunywa gin ama whiskey? (Giiiiin)
Ladies, say hey ukiwa tipsy? (Heeeey!)
Leo unataka chupa moja ama mbili (Mbili)
Kaa we ni gazla chaser ya nini? (Try no chaser!)
Ah! Utakunywa gin ama whiskey? (Giiiiin)
Ladies say hey ukiwa tipsy (Heeeey)
Na unataka chupa moja ama mbili (Mbili)
Kaa we ni gazla chaser ya nini (Try no chaser!)
Utakunywa gin ama whiskey? (Whiskey)
Gin ama whiskey?(Giiiiin)
Utakunywa gin ama whiskey? (Whiskey)
Gin ama whiskey? (Giiiiin)
Yoh! Hah! niko maji ka SPONGE BOB na stagger
Tabia zilifanya m’tutho ajam akiwa nacada (Mbaya sana)
Beer moja andas njugu karanga
Bado uko sober tumekunywa tangu jana (Acha izo)
Kitendawili (Tega)
Kitendawili (Tega)
Glass yangu inakinywaji bila chaser?
Unakunywa nini? (Gin ndo inaweza)
Ah! Alafu waiter weka vodoski kwa meza
Na sina cash naeza lipa na MPESA? (Wapi TILL?)
Ngaleta fine whiskey, ngaleta chaser ah!
Nga sema napenda batoto ngaweza (Baby girl)
Don't drink and drive that's a wrong thing
But ni German Machine iko kwa parking (Yawa!)
Designated driver pia ako maji
Na siwezi lala bukla ama kwa lodging (Aah!)
Gin ama whiskey? (Giiiiin)
Ladies, say ‘hey’ ukiwa tipsy (Heeeey!)
Leo unataka chupa moja ama mbili? (Mbili)
Kaa we ni gazla chaser ya nini? (Try no chaser!)
Ah! Utakunywa gin ama whiskey? (Giiiiin)
Ladies say ‘hey’ ukiwa tipsy (Heeeey)
Na unataka chupa moja ama mbili? (Mbili)
Kaa we ni gazla chaser ya nini? (Try no chaser!)
Utakunywa gin ama whiskey? (Whiskey)
Gin ama whiskey? (Giiiiin)
Utakunywa gin ama whiskey? (Whiskey)
Gin ama whiskey? (Giiiiin)
Hah! Okwokwo
Yoh!
Ukiniona niite chairman (Chairman)
Pewa mbili
Ukiniona niite Mhesh (Sema Mhesh)
Pewa mbili
Hah! Tunaanza polite na mvinyo (Ah!)
Tukiteremsha na Kamino (Yoh!)
Nikilewa mi hukuwa single (Hah! Ha)
Kunywa pombe tuanze ku mingle (Aah)
Ka hakuna tambla, tuna tumia vikombe (ee eeh!)
Kaa hakuna vikombe, tuna tumia mikebe
Aah!
Lazima tulewe, itu-nice na tupige makelele
Aah! Leo niku tingika
Niku lewa
Leo niku ti-ngi-ka
Tafuta za u-ber
Usijali mzinga nita-nunu-a
Tunapiga sherehee, usiku nzima hadi tuone ju-a
Niko na swali niulize? (Ee eeh!)
Niulize? (Uliza)
Niko na swali niulize? (Ee eeh!)
Niulize? (Uliza)
Nini ukikunywa lazima ukunje sura? (Shots, shots)
Mnataka mzinga ama mnataka shots? (Shots, shots)
Utakunywa gin ama whiskey? (Giiiiin)
Ladies, say ‘HEY’ ukiwa tipsy (Heeeey!)
Leo unataka chupa moja ama mbili? (Mbili)
Kaa we ni gazla chaser ya nini? (Try no chaser!)
Ah! Utakunywa gin ama whiskey? (Giiiiin)
Ladies say ‘HEY’ ukiwa tipsy (Heeeey)
Na unataka chupa moja ama mbili? (Mbili)
Kaa we ni gazla chaser ya nini? (Try no chaser!)
Utakunywa gin ama whiskey? (Whiskey)
Gin ama whiskey? (Giiiiin)
Utakunywa gin ama whiskey? (Whiskey)
Gin ama whiskey? (Giiiiin)
Yoh!
Ah!