Geta International Ltd presents the official music video to Properly.
Performed by NYASHINSKI & FEMI ONE
Lyrics : Nyamari “NYASHINSKI” Ongegu and Wanjiku Kimani “Femi One”
Music Written by Cedric “CEDO” Kadenyi
Mixed & Mastered by Dennis Papa
Nyashinski ft. Femi One Properly Lyrics
Aloo!
CEDO-OO-OOAloo!
Kama we ni mwenyeji [Mmmh! Mmmh!]
We ni mwanyeji [Aloo!]
Kama we sio mwenyeji [Mmmh! Mmmmh!]
Aah! mind your business
Ka unataka ule anaichapa mpaka ilale, basi harakisha njoo nah!
Nyumba inanuka Shasha Money, usitupe nini kwa floor nah!
Msupa ako mood ya ladha gani nmaeza enda faster au slow [baby]
Naivaa nikiskia ma Bob Marley, nikitafta plan ya doo!
Tuanzishi vita tunamaliza, nani ukiniita tuma ma mita
Hawa ma lips sync-ka wanawaingiza, napanda stage naona miujiza
[Origi-iii eeh] Originator, baba wa keja [Baba wakee]
Wananitii wanani-iga, nilikua nachoma mpaka kwa filter
Kaa bado uko ushagoo [Aloo]
Life iko order, mbaka ukweli una sound unachocha
Vile naifanya sio hoja [Yeah!] huku hizi ni si tunazoza
Tunaifanyanga
Proper [proper]
Proper [proper]
Properly
Tunaifanyanga
Proper [proper]
Proper [proper]
Properly
Femi One
Sikudai number two wananichuja daro, so, nkajenga shule waje walipe karo
Sa hii mi ndio speaker Frank Ole Kaparo, ma’ tutor zinapiga ki Usman Kamaro
Kwa fam ya ki pank sikutoka, so, fam ya kipank itatoka kwa mimi amini ni jasho na damu zinatoka nikiroga hii injili nai~treat kama dini
Saa hii ma divai zinakuja na mzinga, wananidai na ni juzi waliringa
Mungu aki sign si unajua hauwezi piga, odds ziko right mi sichezi na tinga
Okaaay
Ki Femi ki jembe ki gali, bila budi inabidi wakubali
Pata ajali ujue nani hakujali, hii Maisha ni tamu naichase na makali
Life iko order, [Unoo] mbaka ukweli una sound unachocha

Nyashinski
Guess nani ako in the zone? [Aje?]
Na anafeel right at home [Aje?]
Utajua nilikua kwa chuom [Aje?]
Na harufu ya cologne [Sare]
Na sijawai kosanga fom [Sare]
Last year niliuzanga ma’phone [Sare]
Jana niliota na perform, [Sare] na kabla ya kuota niliperform [Hah!]
Short nayo you know kwa Cliff [Mmh!]
Kabla ujue mambo ya drone [Mmh!], blunder imejaa na kiff[?]
Nadry[?] ni ka na clone [Nadry[?] ni ka na clone]
Mkiulizana nani ndio gweji hapa naona kama mnakosea heshima
Hamuezi nipima, hamuezi nizima, na nimeingia naskia wakiniambia
Life iko order, mbaka ukweli una sound unachocha
Vile naifanya sio hoja [Yeah!] huku hizi ni si tunazoza
Tunaifanyanga
Proper [proper]
Proper [proper]
Properly
Tunaifanyanga
Proper [proper]
Proper [proper]
Properly
Life iko order, mbaka ukweli una sound unachocha
Vile naifanya sio hoja [Yeah!] huku hizi ni si tunazoza
Tunaifanyanga
Proper [proper]
Proper [proper]
Properly
Tunaifanyanga
Proper [proper]
Proper [proper]
Properly
Tunaifanyanga!