Willy Paul and Nandy - Njiwa Lyrics
[Verse 1] - Willy Paul
Kama utaenda angalia pa kutua
Kwenye bati au bustani ya maua
Mwambie nampenda ananisumbua(aaah)
Mwambie nampenda japo kauchubua Njiwa
Peleka salamu, salamu zanguu,
Mi sina hali, naona mawingu
Nyota, nyota mwezi kuzunguzungu
Hali sio shwari, aki yamungu
Nimesha zama kwenye penzi
Wanaeza sema nimepagawa
Mwambie sijiwezi (oooh) (uuuuh)
[Chorus]
Where are you, where are you,
Where are you Njiwa?
Where are you, where are you,
Where are you Njiwa (aaah)
Njiwa Njiwaaaa
Njiwa Njiwaaaa
Njiwa Njiwaaaa
Njiwa Njiwaaaa (aaah)
(mmmmmh eeeh)
(mmmmmmh)
[Verse 2] - Nandy
Mwambie sio chakula tu, hata maji mi sinywi
Mpaka anatuma watu kina Jose Mbilinyi
Na hizo kuali zake tu, ana nikata maini
Anacheza karata tata hata haniamini
Nimesha zama kwenye penzi
Waweza sema nimepagawa
Mwambie sijiwezi aje mapema anipe dawa
Nimesha zama kwenye penzi
Waweza sema nime chachawa
Mwambie sijiwezi aje mapema anipe dawa
(aaaah aaaaah aaaaah)
Nipe dawaaaa
(iyeee iyeee)
[Chorus]
Where are you, where are you,
Where are you Njiwa?
Where are you, where are you,
Where are you Njiwa
(aaah)
Njiwa Njiwaaaa
Njiwa Njiwaaaa
Njiwa Njiwaaaa
Njiwa Njiwaaaa (aaah)
(mmmmmh eeeh)
(mh)
(The African Princess)
Ooowh oowoh!
Whe are you my Beiby
Where are you, where are you,
Where are you Njiwa?
Where are you, where are you,
Where are you Njiwa (aaah)
Njiwa Njiwaaaa
Njiwa Njiwaaaa
Njiwa Njiwaaaa
Njiwa Njiwaaaa
Where are you, where are you,
Where are you Njiwa?(Njiwa)
Where are you, where are you,
Where are you Njiwa? (Njiwa)
Njiwa Njiwaaaa
Njiwa Njiwaaaa
Njiwa Njiwaaaa
Njiwa Njiwaaaa
Where are you, where are you,
Where are you Njiwa (ai mi sijiwezi)
Njiwa Njiwaaaa
Njiwa Njiwaaaa
Njiwa Njiwaaaa
Njiwa Njiwaaaa