Beka Flavour - In Love LyricsBeka Flavour - In Love Lyrics


In LOVE, in LOVE, in LOVE

Najinenepea sasa kibonge
Raha unazonipa kwanini nikonde
Walai wacha waone donge 
Tunavyopendana hatuna mawenge

Penzi unalonipa la kisulutani 
Kuna muda nahisi nipo peponi
Hey! Kumbe niko duniani
Wanipa raha zinazozidi kifaani

Ninakupandisha dau kuanzia leo 
Huba unalonipa kama la kwenye video
Bonge la toto, sio kimeo, 
Ukiniita naitiika jana na leo, my LOVE

Hatupangani kama fungu ya nyanya
Mimi na baby wangu tunapendanaa
Real LOVE hatuna mambo ya drama
Hadi, tunaanza fanaa, in LOVE

In LOVE, In LOVE, tumezama kabisa
In LOVE, In LOVE, tumezama kabisa
In LOVE, In LOVE, tumezama kabisa
In LOVE, In LOVE, tumezama kabisaaa

In LOVE, In LOVE, In LOVE, In LOVE

I love you baibe, you drive me crazy
Give to me, give to me, anything am ready
Sounds amazing, you have my baby
Come here look at you, see how we may change

Kweli umenibamba we moja ya corner,
You gonna kill me slowly
Sina haja ya kudanga
Mapenzi ya kitanga unanipa nae~joy

Nakupandisha dau kuanzia leo
Huba unalonipa kama la kwenye video
Bonge la toto sio kimeo
Ukiniita naitikia jana na leo, my LOVE

Hatupangani kama fungu ya nyanya 
Mimi na baby wangu tunapendana
Real LOVE hatuna mambo ya drama
Hadi, tunaanza fanana, In LOVE

In LOVE, In LOVE, tumezama kabisaaa [In love my baibe]
In LOVE, [In love Oh! Eh!] In LOVE, tumezama kabisaaa [In love my baibe]
In LOVE, [in love in love] In LOVE, tumezama kabisaaa

In LOVE [ in love, in love, in Looove] In love Tumezama kabisa

In love, in love, in love in love [Tumezama kabisaa]
In love, in love, [Tumezama kabisa] In love, in love, 
[Tumezama kabisa] 
[Tumezama kabisa]
[Tumezama kabisa] 
[Tumezama kabisa]
Take five now [take five now]

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form