No title


A short conversation between Willy Paul and Size 8, SIze 8 on why Willy Paul left gospel.


Willy Paul x Size 8 Reborn - Lenga Lyrics

 Ayayayaya [SALDIDO]

Braba-dan-dan-dan

Ayayayaya [Teddy B]


Ooh! Mbona wewe Size 8, nikipiga simu kwani we unanilenga

Unapea simu Sammy, aniambie sio saa hii

Size 8

We injili ulilenga, pepo ulipenda, na vile Yesu ametenda

We ukamlenga, Willy


Willy

Si unajua sahii nyimbo zangu za sa hii zime`hit, usijifanye hujaskia nabii

Hata madem wameninoki times three

Size 8

Sisikizangi ma`Secular, rudi kwa baba anakuita

Sisikizangi za dunia, rudi kwa baba anakuita


Willy

Kuna haja gani nikae ndani, wakati kila mtu hanitaki ndani?

Size 8

Ni nani huyo hataki ukae ndani, ni nani huyo hebu sema Willy?

Willy

Si ni nani na yule nani, harafu nani akaambia nani

Size 8

Maneno maneno we achia Mungu, mapenzi ya Mungu ndio muhimu


Willy

Ooh! Mbona wewe Size 8, nikipiga simu kwani we unanilenga

Unapea simu Sammy, aniambie sio saa hii

Size 8

We injili ulilenga, pepo ulipenda, na vile Yesu ametenda

We ukamlenga, Willy


Willy

Ooh! Mbona wewe Size 8, nikipiga simu kwani we unanilenga

Unapea simu Sammy, aniambie sio saa hii

Size 8

We injili ulilenga, [sikulenga] pepo ulipenda, [sikupenda] na vile Yesu ametenda [Oooh! I know]

We ukamlenga, Willy

Nilikukanya usipende wawili, una watoto na wawili


Willy

Usijali naombaga-ga, ni magoti napiga-ga

Kwa siri kadada naombaga-ga eeh! Eeeh!

Oooh! Naombaga-ga eeh! eh! Usidanganywe na mauno [Pozze]

Ni kazi napiga huko, [waah!] Hypocrites wamejificha huko [waah!]

Kwa mateke wakwende huko [waah!]

Size 8

Shetani alikudanganya [No], 

Ukajichanga [No] 

Kwa Yesu kunalipanga [hah!] Ukicheza moto utajipanga 

Willy

Injili sijalenga, [Si-ja-le-nga-aa] na pepo sijapenda 

Ni Yesu ninalipa [malipo-ooh!]


Willy

Ooh! Mbona wewe Size 8, nikipiga simu kwani we unanilenga

Unapea simu Sammy, aniambie sio saa hii

Size 8

We injili ulilenga, [sikulenga] pepo ulipenda,[sikupenda] na vile Yesu ametenda [oh! I know]

We ukamlenga, Willy


Willy

Ooh! Mbona wewe Size 8, [Ayayayayaya] nikipiga simu kwani we unanilenga

Unapea simu Sammy, aniambie sio saa hii

Size 8

We injili ulilenga, pepo ulipenda, na vile Yesu ametenda

We ukamlenga, Willy


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form