Zuchu - Nyumba Ndogo Lyrics

Song:    Nyumba Ndogo
Artist:    Zuchu
Album:    Nyumba Ndogo
Licensed to YouTube by: WMG (on behalf of WM South Africa)Zuchu - Nyumba Ndogo Lyrics


[DJ Kidogo Dogo]
 
Ooh! Ooh!
Nikupe taarifa mwenzangu [Uuh uh!]
Yamenifika kwa koo, we mwanamke mwenzangu [Uuh uh!]
 
Sema Ooh! Ooh!
Nikupe taarifa mwenzangu [Uuh uh!]
Yamenifika kwa koo, we mwanamke mwenzangu [Uuh uh!]
 
Bwana ako analalamika, kila akija nyumbani
Eti hujui kupika, kula kwako hatamani
Kwangu kalipenda tembele, toto laini laini
Shoga umenyimwa upole, tajiri wa kisirani
 
Naa! 
Samahani, samahani mwanzoni, sikujitambulisha mimi nani?
Mie ndo Mke Mwenzio a.k.a Nyumba Ndogo
Tena nimemganda mumeo kama kichwa na kisogo
 
Sina ubaya, sina ubaya nawe
Aaah! 
Ukinichukiaa, wanionea bure
Aah! 
Sina ubaya, sina ubaya nawe
Mke mwenza ukinichukia, wanionea bure
Ooh!
 Sina ubaya, sina ubaya nawe
Aaah! 
Ukinichukiaa, wanionea bure
 
Aah!! 
Nasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Mke mwenza unanifaa
Mie nikiwa mwezini kwangu haiwezekani
Kwako bwana anakaa
Mambo kusaidiana, wala usihuzunike
Siku izi ku~share mabwana ndo fashion kwa wanawake
 
Jitahidi chunga sana mwenzangu usiachike

Sina ubaya, sina ubaya nawe
Aaah! 
Ukinichukia, wanionea bure
Sina ubaya, sina ubaya nawe
Mke mwenza ukinichukiaa, wanionea bure
Ooh! 
Sina ubaya, sina ubaya nawe
Aaah! 
Ukinichukiaa, wanionea bure
 
Twendee nache, nache, nache, nache, nache
Huu mchezo wa kichina, zungusha kiuno cheko
We kichina zungusha kiuno cheko
Kama shepu huna, pambana na hali yako
Kama huna pambana na hali yako
 
Nasema Masha zungusha, we zungusha
Sasa Wanjala zungusha, we zungusha
Khadija Kopa zungusha, we zungusha
Mama Dangote zungusha, we zungusha
Mama aah! Aah! Aah!
Aaa! Aaa! Aaa!
 
We kama mzuka umepanda, twende mpaka chini
Eti nani sijamtaja, aje acheze na mimi
Na kama mzuka umepanda, twende mpaka chini
Eti nani sijamtaja, aje acheze na mimi
 
Twende changamkeni, changamkeni, changamkeni
Apo kati 
changamkeni, changamkeni, changamkeni
Na kulia 
Changamkeni, changamkeni, changamkeni
Kushoto 
Changamkeni, changamkeni, changamkeni
Mamaaa haaaa
 
Twendee nache, nache, nache, nache
Nacheza, eeh!
 
Nasema aii mama, aii mama,Aii mama, aii mama wee!
 
Andaa besee Andaa bese Andaa bese Andaa bese
Twende!
 
Mama, andaa bese
Andaa besee, Andaa besee, Andaa besee
Twende!
 
Utajijua mwenyewe
Utajijua mwenyewe
Utajijua mwenyewe
Utajijua mwenyewe
 
[Kamix Lizer]

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form