Bahati Ft. Sat B - Sweet Darling Lyrics


Bahati Ft. Sat B - Sweet Darling Lyrics

H_art The Band

You are my sweet Darlin’
Oh! Oh!  Ooooh! Darlin’
You are sent from heaven [Hey!]
You are my sweet Darlin’ 
Mimi ndo Chanda wewe pete yangu mamaaa Darlin’….

[EMB Records]

Bahati

Heey! Eeey!
Aaah! Speaking from my heart ee!
Baby, can I tell you, my mind ee? 
Mmmh! You know, you own my heart ee!
Baby, captivated my mind ee!

Aah!
Wee ndiye jua langu, mchana wangu nasubiria
We kivuli changu, popote nawe natembea

We baraka yangu, ndio siku zote uniombea
Shika mkono wangu, safari ndefu inangojea

Nipende nikupende, tupendane Eeh! My Love
Nibebe nikubebe tubebane... 

Chorus

Sweet Darlin’
Aaah! Hah! Darlin’
Sent from heaven, sweet darlin’
Mimi ndo chanda we pete yangu mama, Darlin’
Sent from heaven….

Sat-B

Ni wewe muucha wanje, Omurikila
Tulimugisa ioo hata wona
Ona tumekutana, hadi tukafaana
Tukapendana hadi tukafanana
Mimi kukupenda ndio yangu taswira Aah!
Hey, sweetie sweetie, basi tuwe na subira


Malezi yako bora, pia yananifaidi
yananifanya kujihisi mwenye bahati
Nakupenda sana unajua Darlin’
Mimi na wewe kama pete na kidole
Kama pete na kidole...

Chorus

Sweet Darlin’, [Darlin’ Darlin’ Darlin’]
Darlin’, […]
Sweet Darlin’, […]
 Darlin’, [wewe ni roho yangu] 
MESESI on the beat
TEDDY B

Ni Bahati na Sat-B from Nairobi to [Buja] Bujumbura
La! La! La! laaa! La la laaa!

BAHATI & SAT - B
Song : SWEET DARLING
Audio: MESESI & TEDDY B
Video Director: NEZZOH MONTANA
SHOT IN KENYA & BURUNDI
LABEL : EMB ENTERTAINMENT

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form