Top Form Lyrics by Nyashinski

Nyashinski - Top Form Lyrics

[Eh!, beat tamu]
[Eh!, beat tamu]

[Ehh!] Yeah, Yeah
[Uhh!] Yeah

Uh!

Mwaka mzima hakuna show, sa unatakaje? [Sa unatakaje?]
Ka ki-cookie, rent haishuki na mi ni mzazi
Vitu sihitaji zina-feel stupid, so sikupi mziki huhitaji
Kwa ufupi, chini si-stoop, mimi niko juu vile huwezi imagine

Watu wanataka hope [Watu wanataka hope]
Niitoe wapi? [Niitoe wapi?]
Mi mwenyewe nashangaa hii row najua kutaendaje? [Kutaendaje?]
Vitu ka mng'aro kwanza nishatoa kwa budget
Sijali kwa 'Gram hizo mapicha zinatokaje
Madeni za ma-supplier, grown men sa wanagwaya
Pia mi naomba nipeeni chance ka KEMSA wana-hire
Ulim-judge, sa unamwita mentor juu kuna pesa kwa umalaya
Shingo inameremeta, nakaa influencer wa mawaya

Heh, mi huwa na simu, ukiniita bash, nakuja na till
Na look ina-clash na sura ya ndimu
Na watu una-trust ndio watu naheshimu
Ka kuna cash ndio nashika simu
Ka niko works, nakuwanga mashini
Nalipa tax na nalipa bill, ndio maana ni black alafu yasin[?]

Hawa ma-youngin' wananeed mentorship
More than wana-need censorship
Kwa street mi ni evangelist
Wana-serve tea, mi na-serve confidence
Success si by accident, na usi-focus-ie past events
Na rulebook jua tu must i-bend
The good book said don't judge me, man
Kwa top three, mi ni number one, two, three
Of course hii city iko na love for me
Na-approach hii kitu kama destiny
Ma-softie ndio huwanga wa-loud vizii
Ka hunioni, hata mi sikuoni
But haifiki jioni ka huniskii redioni
Mi ni ka news, we hata na miwani
Hata na binocular, bado mi sikuoni
Paid my dues, my lifestyle choices ni headline news
Hakufai kuwa na jam niki-headline shows
Grown ass men complain like hoes
Ku-sign wasanii haina deadline, bro
Yup, I'll do it when I do it [When I do it! Eh, eh, eh!]
Mwaka mzima hakuna show [Acha tuziashe]
Acha tuziashe [Acha tuziashe]
Kilimanjaro tu ndio itapita hii highness [Yeah, yeah]
Ama collabo kati ya mi na South C's finest [R.I.P.]
Ata kwa mtaro utanipata na designer

[Acha tuziashe]
[Kilimanjaro tu ndio itapita hii highness]
[For my people I do whatever I can]

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form