Anjella Ft Harmonize - Kama Lyrics


Anjella Ft Harmonize - Kama Lyrics


Ah! Ha! Ha! Ha! 
Jeshi

Sounds by Abbah!

[Konde Boy]

Mmmmh! Wooh! Yeeh!
Kwanza namuomba Mungu iwe kweli
Nipate wa kunipenda anirithie kwa moyo
Oooh! Niepushe na matapeli, wale wa kula na kwenda
Mi nimeumbwa na choyo

Aridhike na changu kidogo cha ngama 
Asiwafuate madanga’
Mmmh! shida zake ziwe zangu hadi kesho kiama
Tupate na vifaranga
Seti fire, mume jando jando
Kiuno kiwe mgandogando
Akimimina aijaze ndoo
Nimng’anie

Mchungaji mi kondoo kondoo
Vita yangu komando mando
Michepuko iweke kando
Wasiniiibie

Kama niki, kama nikimpata
Kama nikimpata, kama nikimpata
Nitampeleka kwa mama [Yaani kwa mama konde]

Kama nikimpata
Kama nikimpata, kama nikimpata
Nitampeleka kwa mama

Uzuri wa mke ni tabia, sura shepu vinachangia
Msafi kutakata kifuani pawe dodo
Tena awe anatulia, yaani asiwe kiruka njia
Anipe nachotaka, kitandani kwenye godoro

Tena naahidi, nyumbani nitarudi mapema
Bahati mbaya nikichelewa nitasema sorry
Naye aniahidi atakuaga chanda chema
Namaanisha sikuwagongewa wana wasinichore

Insta kufollow warembo kawaida
Itabidi azoee Eeh! Eh!
Sio maswali ka niko nida
Sipendagi mayowe\

Check out Vibaya Song by Harmonize

Kondomu akikuta mfukoni asiulize za kazi gani
Simu nikapokee chooni asiulize baby ni nani?
Eti mbona umeganda online unachat na nani?
Aah! Hata za mwizi arobaini akinifuma aone tu utani

Kama niki, kama nikimpata
Kama nikimpata, kama nikimpata
Nitampeleka kwa mama [Yaani kwa mama konde]

Kama nikimpata
Kama nikimpata, kama nikimpata [kwa mama Abba]
Nitampeleka kwa mama

Haijalishi mwembamba mwenene [Nampenda mpenda]
Nachotaka pochi liwe nene [Nampenda mpenda]
Mi napendaga wenye mapene [Nampenda mpenda]
Nani nampenda?

Ajue kunidekeza [Nampenda mpenda]
Makavu mwana apalegeza [Nampenda mpenda]
Vurugu za kifimbo cheza [Nampenda mpenda]
Ooh! nitampenda

Kitandani asiwe boko [Nampenda mpenda]
Anifikishe kwa mgogo [Nampenda mpenda]
Utamu mpaka kwa kisogo [Nampenda mpenda]
Nani nampenda?

Shida zake ziwe zangu [Nampenda mpenda]
Aridhie na hali yangu [Nampenda mpenda]
Awapende ndugu zangu [Nampenda mpenda]
Aah! nitampenda

Anjella, Konde Music Worldwide
Lalalila lala..
[The Mi Killer]
Abbah

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form