Bahati - Dear EX LyricsBahati - Dear EX Lyrics


Basi nifungue roho, kwa yule wa before

Dear Ex…

[EMB Records]

Sitaki kurudia zamani, nilikupenda sana
Ila haukuniona wa dhamani, haukuniona wa dhamani
Sitaki kubonga mob, nikurushie lawama

Ila roho yangu unaijua, nilikupenda sana
Nilipokosa nisamehe, ulipokosa nikusamehe
Na maisha yaendelee Eeh!

Aah!
Nilipokosa nisamehe, ulipokosa nikusamehe
Na maisha yaendelee Eeh!

Rafiki zangu wanaulizia, wanaulizia
Ndugu zangu wanaulizia, yule wa zamani
Haya mama anaulizia, anaulizia
Majirani wanaulizia, yule wa zamani

You never took your time to know me [time to know me]
You never took your time, to understand
You never took your time to know me [time to know me]
That loving is all I ever had [that loving is all I ever had]

Natamani siku zile, hisia zangu zinanikosea
Hata nikuone, ukiwa naye mi nawaombea

Natamani siku zile, hisia zangu zinanikosea
Hata nikuone, ukiwa naye mi nawaombea

Hata Jaguar anaulizia, anaulizia
Messesi anaulizia, yule wa zamani
Fleek Flavour anaulizia, anaulizia
Hata Diana anaulizia, yule wa zamani

Check out other Songs by >> here <<

I wanna let you know, know know [wanna let you know]
never let you go, go go [never let you go]

I wanna let you know, know know [wanna let you know]
never let you go, go go [never let you go]

Chibu Dangote anaulizia, anaulizia
Willy Paul anaulizia, yule wa zamani
Kioko anaulizia, anaulizia
Manager Wizz anaulizia, yule wa zamani

Teddy B anaulizia, Silvester anaulizia
Kwenye Beat anaulizia, yule wa zamani
Jalang’o anaulizia, Dj Moh anaulizia
Na mafans wanaulizia, yule wa zamani

Vanny Boy anaulizia, Mpasho anaulizia
Ni nani atawajibia?

Mama Mueni anaulizia
(Aha…Acha kutupima, hii nyimbo si ya dear Ex
Hii wimbo ni ya Ex)

Unaaribu

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form