Ibraah - Hayakuhusu Lyrics

 


Ibraah - Hayakuhusu Lyrics

"
Wewe eeh! Aaah! aah!
Haukutaka kulea, wakati unalelewa
Lazima uvunjie watu wazima heshima
Punguza mazoea, unajifanya una’care
Wakati umemtelekeza Fahima

Achana na walokutangulia, wakati kesho yako hujui takapo angukia
Unaweza Wasafi ukatimuliwa, na Konde Gang ukaja kusainiwa

Unashindana na mwanajeshi, ambaye vita aliianza babaako [Na hawezi]
Msalimie Kipala Ndezi, wwambie hata akikesha kwa sangoma [Hatu haminezi]
Nyimbo kaimbiwa Kajala
Karoho kana kupwitapwita acha papara [Aah! wee]
naskia unachimba mikwara
Hauna chochote we umebuma chakula [Aah wewe]


   Download Ibraah's Music

Mapenzi ya Konde na Kajala, yanakuhusu nini kaka wee? [Hayakuhusu]
Hata wakiongea video call, una Paula lakini si mwanae? [Hayakuhusu]

We ndio ukomae na muziki [Hayakuhusu]
Ona kina Chinga tunahit [Hayakuhusu]
Ah! Tumeanza jana hatushikiki [Hayakuhusu]
Mbona Sound from Africa haishikiki, imebuma Eeh!..
Eeeeh! Eh!
Oooh! Loo! Lo! Lo! Lo!
Mmmmh! Mmmh!

Mambo ya kuhonga waandishi wa habari nyi mmezoea, tunawajua
Hata Youtube zetu mnapochokonoa, si tunawajua, tunawajua

Kama vipaji mnavyo, sa wivu wa nini?
Tufanye kazi na tusonge mbele
Kama vipaji mnavyo, na mnajiamini
Ya nini sasa kupiga kelele

Eeh! akina Lokole, si wanawapost
Sababu ndio machawa wao [ndio machawa wao]
Kila siku anawapromote, leo asikose raha zao [Ooh! Raha zao]
Ah! Chonde Ray Mrudie Fahima ukamtunze mwanao
Yasiwe ya Mzee Abdul na Nasibu
Kumbuka kujinyima usimsahau mwanao
Baadae akutunze usije pata aibu

Mapenzi ya Konde na Kajala, yanakuhusu nini kaka wee? [Hayakuhusu]
Hata wakiongea video call, una Paula lakini si mwanae? [Hayakuhusu]

We ndio ukomae na muziki [Hayakuhusu]
Ona kina Chinga tunahit [Hayakuhusu]
Ah! Tumeanza jana hatushikiki [Hayakuhusu]
Mbona Sound from Africa haishikiki, imebuma Eeh!
Eeeeh! Eh!
Na Chinga, Konde Musik Wabayaa Yeh!
"

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form