Far Away Lyrics by Lava Lava Ft. Diamond Platnumz

Song:    Far Away

Artist:    Lava Lava Ft Diamond Platnumz

Licensed to YouTube by:    Ngomma VAS (on behalf of Wcb Wasafi)

Far Away Lyrics by Lava Lava Ft. Diamond Platnumz 

Haiyaya

Onu Ayolaizer


Oh! baby 

Si unajua nakupenda, 

Ila moyo wangu mdogo, Usijepanda ka-basikeli 

Oh! baby 

Penzi usije lipepeta,

Ukalipa kisogo, wakaja kunikejeli 

Wewe ndo sweety, my Sheri Coco [Sheri Coco] 

Utamu pipi, mapocho pocho [Pocho pocho] 

Kitandani kwichi, kocho kocho [Kocho kocho] 

Raha na dhiki, msoto msoto [Msoto msoto]


Eeh! 

Penzi tuchunge chunge asiingie shetani 

Wapigazo kofi mbuge wakaa barazani 

Wenye domo tuchunge Mungu awalaani 

Fitina zao watuongee tukwame njiani 


Chorus

Usiende far [Far away] 

Far away, far [Far away] 

Usiniache ukaenda far [Far away] 

Far baby, far [Far away] 


Ah! hey, 

Moyo wangu mama [Utayumba yumba] 

Moyo [Utayumba yumba] 

Mama moyo [Utayumba yumba] 

Mwenzako moyo [Utayumba yumba]


[Diamond Platnumz] 

Baby penzi kitunguu, Usinitoe machozi [Machozi] 

Ukaniweka roho juu, Kuniringia mapozi [Mapozi] 

Tulifanye sikukuu, Tulivalie kitozi 

Kisha tudamshe Insta, vipicha uchokozi

Usinifanye kuku wa kuchora, Siwiki wala kutaga [Kutaga] 

Nikasinga kombolela, Kumbe mnacheza kibaba [Kibaba] 

Nami mwanadamu, kukosea yangu kaba 

Nisamehe napokukera, Ndio siri ya mahaba 

Yarabi penzi nisitiri [Amen] 

Nivyashiriki nabadili [Amen] 

Ili visokonyoko Yasitimie wanayotabiri [Amen] 


Ooh!

Usiku nikunje kunje nilale tavani 

Kipepeo nipunge punge mambo sharukani 

Kwa mganga nikufunge funge, ndele kazikani 

Eti nikuchunge chunge mambo kizamani

Sa usiende far [Far away] 

Far away, fararira [Far away] 


Usiniache ukaenda far [Far away] 

Far baby, far [Far away] 

Ah! hey, 

Moyo wangu mama [Utayumba yumba]   

Moyo, moyo [Utayumba yumba] 

Ah! Moyo [Utayumba yumba] 

Mwenzako moyo [Utayumba yumba] 


Hey! 

Oneni wanaona donge [Wanaona donge hao] 

Wale macho [kununa Wanaona donge hao] 

Watazame wanaona donge [Wanaona donge hao] 

Wana [Wanaona donge hao] 

[Ayolizer!]

[Wanaona]


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form