Kiuno Lyrics by Rayvanny [Vanny boy]


Song:    Kiuno
Artist:    Rayvanny
Licensed to YouTube by:    Ngomma VAS (on behalf of WCB Wasafi)
From The Sound :     Africa Album
Song :       Number 18
Video Produced By:     Director Kenny

Kiuno Lyrics by Rayvanny [Vanny boy]

Moko!

Baby baby ayi ayi ayi
Michepuko ya zamani bye bye bye
Mi najidai dai dai, 
Oh! we subiri shera dai dai dai
Zungusha pepeta ungo, 
Nipe mambo yakizania mafumbo
Geuka onyesha umbo
Jiachie wala usibane tumbo

[Chorus]

You're forever be my always Aya! Yeh!
Cake of my birthday Aya! Yee!
Director of my always, 
baby you turn Thursday to be holiday
Mmmmh! 
We ndio kiboko wa chunusi na harara, wee zaidi yao [hao]
Sura yako hata ukitoka kulala bado zaidi yao
Basi kata taratibu [kiuno]
Kiuno cha pakashungu [kiuno]
Pangaboy feni bovu [kiuno]
We pinda mpaka mugongo [kiuno]
Nipe uno la uzazi [kiuno]
Mpaka chini kwa udongo [kiuno]
Basi Gai! katika [kiuno]
Kama unatokea kongo [kiuno]

Kanitesa Suzy eh! kanitesa Monica
Kanitesa Shuvele, kanitesa Winie eh!
Ila si wewe wewe wewe mama mama
Mmmmh! Shivonipele
Yawawili mapenzi oh! 
watatu siwezi oh!
Usisikie maneno maneno maporojo watakuumiza roho roho oh!
Yawawili mapenzi oh! watatu siwezi oh!
Usisikie maneno maneno maporojo watakuumiza roho roho roho ooh!
Maliza eeh! maliza eh! mama nipe yote
Taamu nipe yote yote
Maliza eh! maliza eh! maliza Eh! Ah!


[Chorus]

You're forever be my always Aya! Yeh!
Cake of my birthday Aya! Ye!
Director of my always, baby you turn [Saturdays?] to be holiday
We ndio kiboko wa chunusi na harara, we zaidi yao [hao]
Sura yako hata ukitoka kulala bado zaidi yao

Basi kata taratibu [kiuno]
Kiuno cha pakashungu [kiuno]
Pangaboy feni bovu [kiuno]
We pinda mpaka mugongo [kiuno]
Nipe uno la uzazi [kiuno]
Mpaka chini kwa udongo [kiuno]
Basi [Gai?]- katika [kiuno]
Kama unatokea kongo [kiuno]

Tupate moja moto moja baridi [cheza cheza bila kutoka jasho]
Nyama choma supu ya digi digi [cheza cheza bila kutoka jasho]
Kibosi bosi kipedeshee [cheza cheza bila kutoka jasho]
Tumia pesa ikuzoee [cheza cheza bila kutoka jasho]

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form