Diamond Platnumz Ft Koffi Olomide - Waah! LyricsDiamond Platnumz Ft Koffi Olomide - Waah! Lyrics

"

 Anachukua anaweka, Waah! 

[Le general Dangote!]

Anachukua anaweka, Waah! 

[Legrand Mopao]

Anachukua anaweka, Waah! 

[Boss ya mboka!]

Anachukua anaweka, Waah!


Tamu kupendwa nawe

Tamu nasikia

Tamu kupendwa nawe …

Tamu kupendwa nawe, 

Taamuu uuh! uuh!

Tamu kupendwa nawe ..


Ooh! Maneno maneno, tumeyazoea ..

Vijineno neno, tushazoea..

Mpenzi wangu mbaya, kwani inawahusu..?

Shepu yake mbaya, hivi inawahusu..?

Mdangaji malaya, kwao inawahusu nini..?

Wamegusa pabaya, na mwaka huu,

Lazima wachuchumae


Wameingia cha kike [Eee Waah!]

Chakike, [Eeh]

Wameingia cha kike

Cha Cha kike [Twale?]

Wameingia chakike [kwa penzi letu]

Cha kike! [Lazima wachuchumae]

Wameingia cha kike [Kwa penzi letu ooh! ooh!],

Cha cha Chakike!


[Aaah! Bakokote, ]

[Babu Tale]

[Don Mendez, ]

[Baa Jun H Baajun]


Chumbani ye Hennessy

Hunipatia Panadol

Kwa chenga za Messi

Na mashuti ya Ronaldo, Yani


Ndani nikiingia tu

Anachukua anaweka, waah!

Aah! kwenye gari

Anachukua anawеka, waah!

Iwe jikoni au varandani

Anachukua anaweka, waah!

Dozee dozee, dozee dozee

Anachukua anaweka, waah!


Yani Dar es salama joto

Toa leso jipepepee [Mkubwa Fella]

Oya Congo joto,toa leso jipepepee


Oya mose kunambi, jipepee

Ooh Ricardo Momo, jipepee

Oya mama Dangote, jipepee

Eeh! Don Fumbwe, jipepee

Eeh! Chu chu!!, jipepee

Chu chu chu!!, jipepee

Yani chu chu!!, jipepee, [aaaaaaah]

Chu chu chu!!, jipepee


Na se [chubaka!]

Na se [Joseph Berthier]

Na se [Quadra Alobi]

Na se [Kaya Kayamusha]

[Tout Le monde]


Fukama!

Fukama! Quadra

Fukama! Fukama! 

Mwana Fukama! 

Fukama! Diamond

Fukama! Fukama!

Quadra Fukama!


Papa Mobimba aye

Papa Mobimba aye

Papa Mobimba aye

Papa Mobimba aye

Anyataka te akokakate 

alobaka te Sukuma Yes!!

Simba ye, Yes!!! [Choisi Matata]

Chuma! Chuma! Chuma! Chuma! 

Chuma! Chuma!

Akokaka te alingaka te

Arobaka te Sukuma yes!!

[Adolphe Muteba chilamwina]

Chuma! Chuma! Chuma! Aaaah!


Papa Ngwasuma

Papa Ngwasuma [Jose Kusaga]

Ala Papa Ngwasuma [Dondwa In Harare]

Ba Nzele Ngwasuma

Dar es Salaam Ngwasuma, [anko Shamte]

Diamond Ngwasuma 

Kinshasa Ngwasuma [Kaya Kayamusha]

Zanzibar Ngwasuma, [Kama Vuama]


Eeeh aaah!!

Eeeh Weeh!!


Usiniguse, usinitouch

Tusalimiane kwa miguu [mwiko]

Usiniguse, usinitouch

Tusalimiane kwa miguu

Ooh! nasema usiniguse, usinitouch

Salamu iwe kwa miguu…! [Tusigusane]

Usiniguse, usinitouch

Tusalimiane kwa miguu…!


Ooh! Kwanza kaa mbali

Corona co..! [ko simba te]

Corona co..!

Mwenzako naogopa

Corona co..! [Pusana Mosika]

Corona co..!

Tena vaa maski

Corona co..! [2 Metres]

Corona co..!

Mikono yako kosha

Corona co..! [Del Pirlo]

Corona co..! [Saint James]

Didi Store Nike

Iddy Santos

[Ayolizer]


Today is Today

The Boss, The Boss,

The Boss, On vous

A parle de nos deals?

On vous a parle de nos fortunes?


Heeer Mopao Mokonzi

Eenh! Eenh!, 

Sala Ngo Bien

Binaka Bien, Bougaka Bien

Denda Bien, 

Sala Ngo Bien, Bougaka Bien, 

Eenh!

Sala Ngo Bien

Bouger Bien, Hein Eeee!

Hein Eeee! Hein Eeee!

"

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form