Nairobi Bensoul ft Sauti Sol, Nviiri the Storyteller, Mejja Lyrics


Nairobi Bensoul ft Sauti Sol, Nviiri the Storyteller, Mejja Lyrics


Habari mbaya zimenifikia 

Mandugu zangu wananikulia 

Kumbe sahani yangu ni sinia 

Na inaniuma sana Yule mpenzi niliaminia 

Nikamueka mbele ya dunia 

I must be trippin nikikurudia

Umenitesa sana.Nairobi

Yule anakupea, pia ananipea 

Akikuletea, ananiletea 

Wanakula fare  

Sote tunashare 

Ogopa sanaNairobi

Yule anakupea, pia ananipea 

Akikuletea, ananiletea 

Wanakula fare  

Sote tunashare 

Ogopa sana mamaMarashi yako yalinivutia 

Siku ya kwanza ulipopitia 

Kumbe si mi pekee nilinusia 

Yolanda ya lavender Na mbogi yangu iliniambia 

Eti nikusare but sikusikia 

I don’ wanna do this shit no more my dear 

Najuta kupendanaNairobi

Yule anakupea, pia ananipea 

Akikuletea, ananiletea 

Wanakula fare  

Sote tunashare 

Ogopa sanaNairobi

Yule anakupea, pia ananipea 

Akikuletea, ananiletea 

Wanakula fare  

Sote tunashare 

Ogopa sana mamaGonga, gonga like x4Mejja
 

Rieng, rada

Siku hizi madame ni blanda

Jana cuzo alimkaza

He’s family, ah ah

Get together kwa bed

Hio story tumekataa

Maboy wengine blanda

Watakukulia mama

Na wakuchekeshe sana

Madame madame, eh

Madame wa siku hizi

Wana machali wengi

Nilichapa mmoja juzi

Ikaingia ndani, diveNairobi

Yule anakupea, pia ananipea 

Akikuletea, ananiletea 

Wanakula fare  

Sote tunashare 

Ogopa sanaNairobi

Yule anakupea, pia ananipea

Akikuletea, ananiletea 

Wanakula fare  

Sote tunashare 

Ogopa sana mama

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form