Mbosso - Ate Lyrics

Mbosso - Ate Lyrics

Verse One

Nataka longa na Wewe
Nikufunze Mapenzi
Mwenzako nayajua
Nataka sema nawe
Nikufunze Penzi Mimi ninalijua
Nipe nikubembeleze Kama mtoto ng'ara
Kwa raha zako ujinenepee
Nikushike Pendo lisiteleze likagaragara
Wabaya Macho Wasisogelee
Aaaaah Ah

Bridge

Twende Zanzibar Comorro Mombasa
Tucheze Zumari Ndombolo Chakacha
Nikupe Michezo hatari, Uzidi Takata
Tuwe ng'aring'ari, Dangote Tanasha

Chorus

Kama Kikogwa nitala na Chumvi
Ate ate ate atee
Vimboga mboga Sangara Uduvi
Ate ate ate atee
Eeeeh iyanaaa iyaaaa
Ate ate ate atee
Iyaaana iyaaaaa
Ate ate ate atee

Verse 2

Mmmmmh mmmmhhh mmhh mmhhh mmmmmmhhh
Mimi Daktari
Daktari wa Mapenzi
Dozi yangu temethali
Inatibu na kuenzi
Mmmmmmmh
Yangu Tamu tamu bila Kuchanjia
Chachu Kwa Kudambulia
Swafi kwa Kuitumia ni Salama
Kama Buble Gum utatafunia
Ndafu kwa kusukumia
Mmhh Chakurumagia
Kinyama

Penzi liogelee hii bahari Salama
Selelea Se
Tuelee mioyo isiende mrama
Selelea Se
Tule tujisosomoe nyama nyama za Shawarma
Selelea Se
Habib Seleleaaa

Bridge

Twende Zanzibar, Comorro Mombasa
Tucheze Zumari Ndombolo Chakacha
Nikupe Michezo hatari, Uzidi Takata
Tuwe ng'aring'ari, Dangote Tanasha
Aaaaah Ah

Chorus

Kama Kikogwa nitala na Chumvi
Ate ate ate atee
Vimboga mboga Sangara Uduvi
Ate ate ate atee
Eeeeh iyanaaa iyaaaa
Ate ate ate atee
Iyaaana iyaaaaa
Ate ate ate atee

Outro

Jamaa mwali Kang'ang'ania
Anaitaka
Mmhh Analilia
Anaitaka
Oooh Kashikilia
Anaitaka
Nimpe Yote yote
Yani nzima nzima
Anaitaka
Oooh Kulamba lamba
Anaitaka
Chocolate Ya maziwa
Anaitaka
Yote yote

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form