Maua Sama & Ben Pol - Amen Song Lyrics


Maua Sama and Ben Pol in the video Amen

Maua Featuring Ben Pol - Amen Lyrics


VERSE ONE

Babe Wajuwa, leo ninafuraha Beibe eh
And with you is all I want, and I don’t need someone else
Beibe eeh!


Eeh! Ben Pol
Nipe nipende kipekee, nitunze kwa moyo wote
Nami mapenzi Nikupe, sikuachi hata sekunde

CHORUS

Nahisia zangu zakuhitaji, uingiee moyoni
Nawe uwe mwanga wangu kumulika, unitowee gizani

Kwa Sababu, (niwe Eeh Eh tu)
Nimpendaye (niwewe eh tu)
Oh! Daily

Kwa sababuni, (niwe Eeh Eeh tu)
Nimpendaee (niwewe Eh! tu)
Wife….

Hatubariki Amen
Na atulinde Amen
Atulinde Amen
Atuongoze Amen
Milele yote Amen,
Wote Tuseme Amen

VERSE TWO

Waliodhani sikufai
Leo wanashangaa, nisiku yetu My Baibe
Ndoto imekuwa, hata familia wanafurahi My Baibe
Vile umeniwahi, wote wanigae shingoni kama tai
Tai tai Eh!

Na leo Najidaii, heshima ulionipa
Ya Kuwa muwenzi wako milelee
Daimaaah mamaa we- ee
Takulindaa! Mama we- ee
Sina Sababu Mama we-eee
Yakukutenda

Moyo wangu ni wako
Nime kukabidhi pekee yako
Wewe-eeh!
Fungua wa kwako, nifurahie pendo lako

[Chorus]

Nahisia zangu zakuhitaji, uingiee moyooni
Nawe uwe mwanga wangu kumulika, unitowee gizani

Kwa Sababuni, (niwe Eeh! Eeh! tu)
Nimpendaee (niwewe Eeh! tu)
Oh! Daily

Kwa sababuni, (niwe Eeh Eeh tu)
Nimpendaee (niwewe Eeh tu)
Wife

Hatubariki Amen
Na atulinde Amen
Atulinde Amen
Atuongoze Amen
Milele yote Amen
Wote Tuseme Amen

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form