Aslay – Totoa Lyrics

Aslay in the vidoe Totoa 


Aslay – Totoa Lyrics

Mmmmh! Lala la la la…
Pole pole baby yangu
Uchungu ndo umekushika eeh!
Basi pole mpenzi wangu
Twende lebe ukajifungue
Linanitoka chozi langu
Kuona unapiga kelele
Mi namuaomba Baba Mungu
Salama uweze ujifungue

Umenikumbuska mbali sana (sana aah)
Nimemkumbuka mama (mama aah)
Kumbe alipata tabu sana (sana aah)
Kunizaa mwana (mwana)

Subira nilisubiri kakupata wewe
Nilivyokupata kakupa mimba ili unizalie
Na leo nasubiri unitotolee
Jikaze nu mpenzi mungu yuko na wewe akusimamie eeh!

[CHORUS]

Totoa… totoa mama
[Aaah] shamba ashalipalilia
Totoa… Totoa mama
Nasubiri kuvuna
Totoa… Totoa mama
Oh! we ndo mwangu my dear
Totoa… Totoa mama Oh!
Mungu alonijalia

Ukijifungua dume Ntachinja jogo
Ukijifungua jike Ntalichinja koo
Ukiniletea mapachaa Ntachinja kondoo
Ila hata ukikosa mi bado ni wako
Ummm!
Kapambane na matusi Wanayotoa manesi
Wewe usiwe mbishi, Jikaze eeh!
Tena uwape nafasi, huduma upate kasi
Baby usie mbishi, jikaze

Umenikumbusha mbali sana (sana aah!)
Nimemkumbuka mama (mama aah!)
Kumbe alipata tabu sana (sana aah!)
Kunizaa mwana (mwana aah!)
Subira nilisubiri, nkakupata wewe
Nilivyokupata nkakupa mimba ili unizalie
Na leo nasubiri unitotole
Jikaze mpenzi mungu yuko na wewe akusimamie eeh!

[CHORUS ]

Totoa… Totoa mama
Aah! shamba ashalipalilia
Totoa… Totoa mama
Nasubiri kuvuna
Totoa… Totoa mama
Oh! we ndo mwangu my dear
Totoa… Totoa mama
Oh! Mungu alonijalia
Totoa… Totoa mama
Huenda akawa Moza wangu
Totoa… Totoa mama
Ama Isiaanka (spelling]
Totoa… totoa mama
Totoa mama

Huenda akawa Chambuso
Totoa… Totoa mama
Huenda akawa [Sheko]
Iye yeye yeye yeyeyeyeyeyeh!
uhooo wowo wowo wo wooooh!
Totoa mama totoa
Totoa mama toto ooh Oohooo… eh

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form