Harmonize Ft. Korede Bello - Shulala Lyrics


Harmonize Ft. Korede Bello - Shulala Lyrics

[Verse 1] - Harmonize

Kwanza upendo Baraka
Nikuchunge nitajisumbuwa
We jichunge tu mwenyewe
Mmh!
Nasikufunzwa taraka
Mangapi ulinikosea, ilabado nipo nawe
Mmh!
Atawaniite soba waseme umeniroga
Kukuacha ndio siwezi nimeridhia
Ila, she is my number moja, wengine watangoja
Ah! niongezee mapenzi, niizidi kolea

[Chorus]

Pale ninapokuona, Shulalala Shula
Yarabi moyo, shulalala Shulaa
Pale nininapokusikia, Shulalala shula
Shula wangu, shulalalalaa shula

[Verse 2] - Korede Bello

Wooa no no no no no no Walegelelo
Want you to know that I’ll will be there
Coz I will be there till the end oh!
So, don’t let baby
Don’t let nobody come interfere (interfere)
Let them say what they want to say, sando
Shuba bochubeyanju, kuumanyeu
Kojubararaba bubara maje koyau
Girl I promise you forever
I will never leave you never,
anywhere you go (I will go I’ll goooo)

[Chorus]

Pale napomuona-aa Eh! Shulalalaa shula
Jamini moyo wangu, Shalala-la-la Shula
Pale ninapomusikia, Shulala Shula
Yarabi moyo wangu, Shulala-laa shula
(Yarabi moyo)

[Verse 3] - Harmonize

Aaah!
Unizalie ka-cute ka-cute Katifah Dagote
Nikuvalishe na misuti misuti, upendeze toto
Tukomeshe wenye chuki mamluki lakusema wakose
Tulisakate uzuki uzuki na wavimbe wapasuke
Wewe ooh! Darling mtunze siri zangu hata ikiwa sina
Wanivumilia nakuamini nitapata
Tafadhali nilindie royo yangu chakukupa sinaa
Tena nakuambia haki ya mungu sitakuacha


Kama ulinipenda sana (nitaringa nitanga na wee eeh!)
nitaringa nitanga na wee eeh! nitaringa
nitaringa nitanga na wee eeh! nitaringa
nitaringa nitanga na wee eeh! Nitaringa
nitaringa nitanga na wee eeh! nitaringa
nitaringa nitanga na wee eeh! nitaringa

Nitaringaje!

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form