Aslay X Nandy – Subalkheri


Aslay X Nandy – Subalkheri Lyrics

Aaaaah,aaaah ,aaaah
Aaaaah,aaaah ,aaaah
Aaaaah,aaaah ,aaaah
Aaaaah,aaaah ,aaaah

subalkheri mpenzi waonaje hali yako
subalkheri mpenzi hali yangu kama yako
wawaonaje wazazi nyumbani utoke yako
kawanusuru mwenyezi hofu yao juu yako

ebu nitoe majonzi unijuze shida yako
shida yangu sijiwezi ,dawa yangu sura yako
ebu nitoe majonzi unijuze shida yako
shida yangu sijiwezi ,dawa yangu sura yako

mwinginewe hachomozi nakupenda pekeako
mwinginewe hachomozi nakupenda pekeako
daima nitakuenzii silitupi pendo lako
daima nitakuenzii silitupi pendo lako
ukiwaka mbali baby mwenzako
pressure inazidi,
speed husiniache baby utanipigo la kigaidi
basi mororo

najua uko na mimi penzi wewe
husije nifanya kiporo eeh
ukiwa mbali baby mwenzako
pressure inazidi,
speed husiniache baby utanipigo la kigaidi
basi mororo

najua uko na mimi penzi wewe
husije nifanya kiporo eeh
ebu nitoe majonzi unijuze shida yako
shida yangu sijiwezi ,dawa yangu sura yako
ebu nitoe majonzi unijuze shida yako
shida yangu sijiwezi ,dawa yangu sura yako

mwinginewe hachomozi nakupenda pekeako
mwinginewe hachomozi nakupenda pekeako
daima nitakuenzii silitupi pendo lako
daima nitakuenzii silitupi pendo lako

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form