Mtasubiri Lyrics - Diamond Platnumz (feat. Zuchu)
Mtasubiri Lyrics - Diamond Platnumz (feat. Zuchu)
Eeh! Nini sasa
Eti ,Amina dua zimeitikiwa Hashtuti nije kupa mali yako
Oooh fanya hima ,
mwenzako nimezidiwa mahututi nasubiri tiba yako.
Na nisipo kuona na raha nakosa
Situliii mpka unikumbate darling
Oooh! Kiranga chote ni koma, ukianza dear,
shughuli kwisha yangu habari.
Eti unanipenda mi (mnhh)
Unanitaka pia ( mnhhh)
Unaniamini mnhh
na umeniridhia
Ooh Eti unaninda mi (mnhh)
Unanitaka pia (mnhhh)
Unaniamini (mnhh )
Na umeniridhia
Wanaosubiri tuachane !
Mtasubiri sana mtasubiri
(Ooh mtangonja )
Mtasubiri sana mtasubiri
(wanaosubiri tuachane )
Mnasubiri sana mtasubiri
(Chukueni viti mkae)
Mtasubiri sana mtasubiri
Ooh baby mi mwenzako njiwa wa kufungwa
oooh baby vya chaku chaku vitanifunja
Ooh baby mie wapwani mzawa wa unguja
Ooh baby penzi laini sitoa buja
Na moyo nimeshaweka kwako nanga , wanajisumbua kukesha kwa waganga
Mbona bado!
Na presha zitawashuka na kupanda ,tena deka we shaukwa baby tamba .
Eti unanipenda mi (mnhh
Unanitaka pia (mnhhh)
Unaniamini( mnhh)
na kuniridhia (mnhh)
Eti unanipenda mi (mnhh
Unanitaka pia (mnhhh)
Unaniamini mnhh
na umeniridhia (mnhh)
Mnaosubir tuachane !
Mtasubir sana mtasubir
(Mtakesha )
Mtasubiri sana mtasubiri
(Mtandike jamvi mkae )
Mtasubiri sana mtasubiri
(Mtatungoja sana)
mtasubiri sana mtasubiri
Wanasema eti umeniroga
"nikweli ila inawahusu nini "
Hunipendi unanichuma
"nikweli ila inawahusu nini"
Eti wanasema ww ni kicheche
"Nikweli ila inawahusu nini"
Utanichezea kesho uniache
"Nikweli ila inawahusu nni"
Comments