Kamnyweso Lyrics - Khaligraph Jones ft. Mejja

Invisible Currency - Khaligraph Jones
[Big shoutout to Vincent the beatz by the way!]

Wapi kamnyweso, Wapi kamnyweso
Wapi kamnyweso, Wapi kamnyweso

Hii ngoma nimefanyia maboy na madiva [Ooh!]
Upende usipende huwezi avoid hawa manigga [Jones]
Ukinipatia mboka sikuenjoi namaliza [Eeeh! Yeeeh!] 
Manze ni Omollo jo na mtoi wa Hadijah [Rrrreah!]

Na mi ninani to prove no point for de’ media [Nope]
Go ahead and light a joint for this feature
Rada sikutafta coins ni mamita [Eeeh! Yeeeh!]
Na peng ting ka si Wamboi ni Anita [Rrrreah!]

Kanairo wamenibandika jina sonko [Sonkoo]
Kogalo massive hii ligi mi ndo nacontrol [Control]
Odi dance sitambui sijui azonto [Zonto]
Na tumbler itashikwa aje bila Okonkwo [Nkwo]
 
Na kila nikichunisha debe wanaturn face [Huuh!
Utadhani wameona manjege au masanse [What?]
Niko zabe juu ya veve na machampez [Heeh!]
Haters nawapea headache vile narun place

Nasema mi daktari ogopa hii kambi my crew
Kazi yetu ni kushinda nikiparty coz this my life and my rules
Tumeshika mtaaani kwa ghetto 
Majengo hadi Soweto 
Kanashika leo mpaka kesho
Mr. Tumbler wapi kamnyweso 

Kamnyweso,
Say Wapi kamnyweso, Wapi kamnyweso, 
Kamnyweso,Wapi kamnyweso, 
Say wapi kamnyweso, Wapi Kamnyweso, 
Kamnyweso, Wapi kamnyweso, 
Say wapi kamnyweso, Wapi kamnyweso, 
Kamnyweso, Wapi kamnyweso, 
Say wapi kamnyweso, Wapi Kamnyweso, 
Kamnyweso, Wapi kamnyweso

You didn’t know Okonkwo can spit another lingo
And I make it look simple
Am a G in this shit just living it up
I got many flows let me switch it up
Aah!
Umeshtuka mi sikai eh
Na kizungu aki walai
Ni mwisho wa mwezi najidai
Leo nakunywa chupa sikunywi ndivai

Ndo sherehe tunapiga place ya nguvu [aah!]
Mahali pombe inaserviwa na tunjugu [yoh!]
Aki ya nani leo nikishika mutu
My chik , ataenda kuku
Lamba chupa ukilamba mtu [hah!]
Tupa lugha kamata mtu
Chuma nzuri hainanga kutu

(Hey Okwonkwo ebu roga watu)

I keep it one hundred
me and OG we glowing this money
you know we run these streets
you know we killin’ these shits
level up!

Nasema mi daktari ogopa hii kambi my crew
Kazi yetu ni kushinda nikiparty coz this my life and my rules
Tumeshika mtaaani kwa ghetto
Majengo hadi Soweto
Kanashika leo mpaka kesho
Mr. Tumbler wapi kamnyweso

Kamnyweso,
Say Wapi kamnyweso, Wapi kamnyweso, 
Kamnyweso,Wapi kamnyweso, 
Say wapi kamnyweso, Wapi Kamnyweso, 
Kamnyweso, Wapi kamnyweso, 
Say wapi kamnyweso, Wapi kamnyweso, 
Kamnyweso, Wapi kamnyweso, 
Say wapi kamnyweso, Wapi Kamnyweso, 
Kamnyweso, Wapi kamnyweso

Nasema Leo form yetu kamnyweso eeeh!
Na kama zimekushika basi weka yako juu [weka yako juu]
Nasema Leo form yetu kamnyweso [eeh]
Na kama zimubamba basi inua yako juu [inua yako juu]

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form