Ethic Entertainment - Bazenga Lyrics


Ethic Entertainment - Bazenga Lyrics

[REKLES]

Knock knock who is there bazenga

Baby ka unakam kam na dera

Alafu ka unatwerk twerk kwa meza

Ukiuliza why why nalenga


Mbona?

Sijichochi mi ni fathela

Pia ukitaka unaeza niita Mandela

Na ukidai twende dry kwa keja

Ukinidai hivo hivo napenda... Aah!


[SWAT]

Napenda msupa mahuru, ngoko anaweza ng’oa

Msupa hudunga dera na mahaga pia husonga

Ngoko ka nikitokwa anakutoaga ikibonga

Cheza na hio kitu akireverse ni ka ni gear

Cheza na hio kitu siwezi gwaya siwezi fear

Akiskia bie akam atabanja ataniita bazu

Hakuna haja nitoe ju si toja inua kanzu

Ka amedunga dera itabidi niinue kanzu


[REKLES]

Knock knock who is there bazenga

Baby ka unakam kam na dera

Alafu ka unatwerk twerk kwa meza

Ukiuliza why why nalenga


Mbona?

Sijichochi mi ni fathela

Pia ukitaka unaeza niita Mandela

Na ukidai twende dry kwa keja

Ukinidai hivo hivo napenda.. ..Ah!


[ZILLA]

Wewe ni wa daily saa zile niko njaa

Saa zile niko lonely namedi na kipuff

Betrayal za maarif na bado unanidai

Na msupa nikistedi siwezi nika reverse


Napenda kukupanda ukinipa hio ass

Ukinipa mapenzi ka bado unanicurse

Ju unajua sikupendi na bado umenitrust

Ati siku moja maybe nitakuta hio [???]


[REKLES]

Knock knock who is there bazenga

Baby ka unakam kam na dera

Alafu ka unatwerk twerk kwa meza

Ukiuliza why why nalenga


Mbona? 

Sijichochi mi ni fathela

Pia ukitaka unaeza niita Mandela

Na ukidai twende dry kwa keja

Ukinidai hivo hivo napenda... Ah!


[SESKA]

Bed haikosi bed iko ya shang bed

Bed haikosi bed kuna ya mbao

Ka matress haitoshi bed kulala down

Na for whine party bed narausha


Before kifo omba before meda puff zam

Looka Magnota bila mercy huwanyau

Logging Twitt ka nap kudisia ngata

Territory utamark after ngasha


Eyes in the room and they zoom you

Send me your nude nizizoom room

Tamtong za you, daily mi huzizoom

Floss hazina look, saidia mabuyu


[REKLES]

Knock knock who is there bazenga

Baby ka unakam kam na dera

Alafu ka unatwerk twerk kwa meza

Ukiuliza why why nalenga


Mbona?

Sijichochi mi ni fathela

Pia ukitaka unaeza niita Mandela

Na ukidai twende dry kwa keja

Ukinidai hivo hivo napenda... Ah!


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form