Bahati Ft. Nadia Mukami – Pete Yangu Lyrics


Bahati Ft. Nadia Mukami – Pete Yangu Lyrics 


[EMB Records]


Nadia, na Bahati tena


Mi si lover boy incase don’t Know Noo!

Si lover boy oh! Noo!


Mi si lover girl incase you don’t know

Sio kama yule demu Ooh! Noo!


Na kama njiwa anavyo pepea, roho yangu unailemea

Kasura pia nako ulipokea, naona Mungu kakupendelea


Basi nikumbatie hadharani, unipe ya chumbani

We’ni moto oh! we’ni moto


Pete yangu, Pete yangu, 

Pete Ya…We'ni kama pete yangu


Pete yangu, Pete yangu, 

Pete Ya…We'ni kama pete yangu


Toka kwa jua njoo kwenye hema

Wamekutesa sana mimi ndiye chanda chema

Nawapambe wale wasio penda mema

Wanatuombea vita CCM, Chadema


Yaani huu moto hauzimwi, na kwa meneno ya ulimi

Nishasadiki moyo kakupenda tu wewe

Basi nikumbatie hadharani, unipe ya chumbani

We’ni moto oh! we’ni moto


Pete yangu, Pete yangu, Pete Ya…

Wewe ni kama pete yangu


Pete yangu, Pete yangu, 

Pete Ya…We'ni kama pete yangu


Pete yangu, Pete yangu, 

Pete Ya… We'ni kama pete yangu


Pete yangu, Pete yangu, 

Pete Ya… We'ni kama pete yangu


Bahati New Album Track List

This Year Bahati is celebrating SEVEN years in the music industry and consequently, marking this revolutionary, he’s releasing a ten-track music ALBUM titled "LOVE LIKE THIS"

The tracks are listed as follows

  1. Wewe ni Mungu - Bahati
  2. Kiss - Bahati ft. Rayvanny
  3. Take it slow - Bahati
  4. Pete Yangu - Bahati ft Nadia Mukami
  5. Caro - Bahati
  6. Julie - Bahati ft Lydia Jazmine
  7. Sweet Darling - Bahati ft SAT B
  8. The one - Bahati
  9. Size Yangu - Bahati ft JOVIAL
  10. Fikra Za Bahati - Bahati

You can Stream this album exclusively on Boomplay

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form