Ibraah - Mapenzi Lyrics

Ibraah - Mapenzi Lyrics

Karata 3 is a project composed of three songs, Mapenzi, Upande Featuring Skales (Nigerian), and Nimpende.

Mapenzi is a Swahili Word in English Means Love. On this song Ibraah tries to tell us that there’s things to tolerate but not love because love hurts, you can love someone and that person you love has someone else who loves him/her.

Audio Produced by: Mr. Simon

Video was Directed by: Joma from RedShot


Download Ibraah's Music

[Intro]

Noo! Uuuh! Oooh! Aaaah!

Uuuuh! Ooooh! Aaaah!

Mr. Simon

Hayaa Aaah! Yeeeh Eeeh!


[Verse]

Amini unaempenda nae ana wake anaempenda pia 

Na siku zinakwenda Aaaaah! 

Na hata yule anaempenda nae ana wake anaemwita dear 

Haya mapenzi mwana kwenda Aaaaah! 


No Oooh! ni yale yale mapenzi yaliyowatesa mabibi na mababu hadi leo 

Mie mwenzenu siyawezi ni bora uyashuhudie kwa mwenzio ama kwa video 

Usione mtu analiaga ukadhani ni utoto 

Mapenzi ya vingi vituko nyingi changamoto ooona 


Ukimpata anae kuthamini na tulia na utunze yake heshimaa 

Ujue ndo kashazama kwa kina weeeewe Aah! Eeeeh!


[Chorus]

Vipo vya kuvumilia [lakini sio mapenzi]

Mapenzi yanaumiza [mi ndo maana siyawezi]

Vipo vya kuvumilia [lakini sio mapenzi Aaah!]

Eeeeh! Mapenzi yanaumiza Aaaaaaah! [mapenzi]


[Verse]

Awe penda unapopenda unapo amini kwamba amani ya moyo wako ipo 

Na ukikosa unachopenda, utapagawa bure hata ufanye matambiko na 

Na hata ukimpenda kweli hawezi jua sababu ni siri ya moyo wako 

Hata kama akifeli atapuuzia ili uteseke tu peke yako 


Ngoswe kitovu cha uzembe ukipenda huoni 

Na unaempenda hajui hatambui kama yeye ndo yako mboni 

Hata akisema amechoka anataka muachane wewe zidi kumpenda tuu ivyo ivyo 

Maana mapenzi hayana mwenyewe, Aaaaah! 


Unaweza ukaondoka ukaenda kupenda pengine napo ukakuta ndivyo sivyo 

Ukajihisi una mkosi weeewe Aaah huuu Oooh! Aaah! 


Ukimpata anae kuthamini na tulia na utunze yake heshimaa 

Ujue ndo kashazama kwa kina weeeewe Aah! Eeeeh!


Chorus

Vipo vya kuvumilia [lakini sio mapenzi]

Mapenzi yanaumiza [mi ndo maana siyawezi]

Vipo vya kuvumilia [lakini sio mapenzi Aaee!]

Eeeeh! mapenzi yanaumiza Aaaaaaah! [mapenzi]

 

Ibraah

Konde Music Worldwide

Mr. Simon


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form