Punguza Kasheshe Lyrics by Khaligraph Jones

Punguza Kasheshe Lyrics by Khaligraph Jones


[Intro]

Big shoutout to Vinc on the Beat, by the way


[Chorus]

Niko kwa streets na mamita

Tuko lit na pia ni ka, tumekam na rende

Niko na biz nasafisha

Hizo beef mnachachisha, ni kasheshe

So, punguza kasheshe [punguza kasheshe]

Punguza kasheshe [punguza kasheshe]

Punguza kasheshe [say punguza kasheshe]

Punguza kasheshe [Kasheshe]

Kasheshe, punguza kasheshe


Download Best of Khaligraph Jones

[Verse 1]

Heh! heh!

Punguza kasheshe

Beat inagonga proper, inabaki naunguza madebe

Past curfew, bado niko nje ninazunguka na njeve

Tenje nilisahau kеja, najua wife ashachunguza ma-message

Rat racе teke teke, niko on toes niki-navigate [Jones]

Mi ni Gangster, we bado unangoja hawa ma-bitch waku-validate [Hahahaha]

ISIS leader venye hizi ma-beat nazi-terminate [Brr!]

Convict, utajuaje nilikuwa Inda miezi mbili

Hizi stori huwezi ka-relate [Never]

No wonder si hatufanani hata kidogo [Nope]

Opwondo, bonga shonde uone vile mi nitakuchapa kisogo [Come on!]

Uliza Kayole gathee, mi ni rasta, ni popo

Mi ni hustler Kanairo, Mwihoko, nipate WhatsApp niki-chat na Kabogo [Iyee!]

Miaka ni thirty na buda yako ananiita fathe [Fathy]

Rada ni chafu, hapo ukikam nayo, nakutapee [Tapee]

Tukienda courtiko gathee, mi nitakuitia cartel [Woh!!]

Angalia mbulu uniambie ni akina nani wameshikilia makesi


[Chorus]

Niko kwa streets na mamita

Tuko lit na pia ni ka tumekam na rende [Umekam na rende!]

Niko na biz nasafisha [Iyee!]

Hizo beef mnachachisha ni kasheshe [Ati ni kasheshe?]

So punguza kasheshe [punguza kasheshe]

Punguza kasheshe [punguza kasheshe]

Punguza kasheshe [say punguza kasheshe]

Punguza kasheshe [kasheshe]

Kasheshe, punguza kasheshe

So punguza kasheshe [Punguza kasheshe]

Punguza kasheshe [Punguza kasheshe]

Punguza kasheshe [say punguza kasheshe]

Punguza kasheshe [Kasheshe]

Kasheshe, punguza kasheshe


[Verse 2]

Heh! heh!

No smile for the cam, and I'm never in the right mood [Woh! Woh! Woh! ]

Ask about him in the hood, that nigga Khali is a tycoon [Jones, Jones, Jones]

Cross me ka haujipendi, guaranteed you go die soon [Haha!]

Top rapper though nitakuwa nadanganya nikisema pesa zangu ni za iTunes

Juu niko Spotify na Boomplay, na bado Deezer pia selling music, Tuesday ni Tuesday

So why you debating 'bout who is paid?

Mi nalipwa pande zote, nyi bado mnang'ang'ania 2K

ROC-A-FELLA, I'm the new Jay

Blu Ink is the label, usipime, tuko juu we

Nawakunywa kama Kool-Aid

Punguza kasheshe ama ugeuzwe kichungi 'fore it's too late [Uhh!]

Heh! heh!e, sura ngumu utadhani Karumanzira [Nzira, Nzira, Nzira]

Ka hutaki majukumu gathee, basi vaa mpira [Kwenda!]

Vile mi hutema moto, utadhani Godzilla [Shwaa, shwaa, shwaa]

And we all know that there is only one killer [Woh!]

‘Comprehend’, we don't pretend

We just pull up your crib when the choppers are loaded [Brr!]

‘Comprehend’ We don't forgive

We just shoot out your brains, and I swear we gon' love it [Pow, pow, pow]

Ain't no verses for free, nigga, work on your budget [Word, word, word]

One and sixty on top, and there's nothing above it [woh!

Going psycho, gotta get these demons to stop [Stop!]

They messing my head up, I'm crazy, believe it or not [Woh!!]

These snitches get stitches, it's better you flee the cops [Run, nigga]

Despite my condition, man, I'm still the cream of the crop

Heh! heh!e!


[Chorus]

Niko kwa streets na mamita

Tuko lit na pia ni ka tumekam na rende [Ati umekam na rende?]

Niko na biz nasafisha [Woh!!]

Hizo beef mnachachisha ni kasheshe [Ati ni kasese?]

So punguza kasheshe [punguza kasheshe]

Punguza kasheshe [punguza kasheshe]

Punguza kasheshe [say punguza kasheshe]

Punguza kasheshe [kasheshe]

Kasheshe [Ah!]


Niko kwa streets na mamita [Woh!]

Tuko lit na pia ni ka tumekam na rende [Umekam na rende!]

Niko na biz nasafisha [Ayy!]

Hizo beef mnachachisha ni kasheshe [Hizo zote ni kasese]

So, punguza kasheshe [punguza kasheshe]

Punguza kasheshe [Woh! Woh! Woh! Woh!]

Punguza kasheshe [say punguza kasheshe]

Punguza kasheshe [kasheshe]

Kasheshe, punguza kasheshe


[Outro]

Haha!

You know what it is, Khaligraph Jones

Big shoutout to everybody, Nairobi, what's up?

Andrew Nyangun? Wa-gwan, Bredda?

Heh! heh! respect the OGs


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form