Kifo Lyrics by Rayvanny kifo [Rest In Peace Makufuli]Kifo Lyrics by Rayvanny kifo [Rest In Peace Makufuli]

Kifo Kifo kifo ooh! 

Kifo Kifo kifo ooh! 


Nuru imepotea mbele hatuoni giza

Kila corner machozi, masikitiko 


Mhhh!

Nafsi zanyongonyea huzuni mwonyoni unaumiza

Kitabu kizuri ndio ukurasa wa mwisho

Vizuri ya vitu Uuuh! 

Neenda Makufuli umetimiza majukumu baba

Vizuri ya vitu uuh!

Neenda Jembe letu


Kuacha mabarabara, mahospitali

Wanaichi ulivyo wajali

Maskini kwakila hali Makufuli wetu


Upendo kwa wasanii kila mahali ulifurahi nasi ukatujali

Zile kofia kumbukumbu umefunga safari, Makufuli wetu

Kina mama atafuta nani machozi?

Wafungwa ulio wasamee, atawafuta nani machozi?

Na vijana atawafuta nani machozi? 

Wazee wazee atawafuta nani machozi?


Umewacha alama kumbukumbu zisichofutika

Pengo lako Makufuli sidhani kama litazibika

Mwoyo unalalama sisi bado twauzunika

Umefanya kazi ngumu Shujaa basi kupumuzika Jembe Eeh?


Kifo Kifo kifo ooh! [kwa nini kifo?]

Kifo Kifo kifo ooh! [Unachukua wewe tu unachukua mashujaa kifo]

Kifo Kifo kifo ooh! [hauna hauna hauna huruma]

Kifo Kifo kifo ooh! [kwanini kifo kwanini kifo kwanini?]

Hauna huruma? Aah! kwanini?


Machozi ya mama Samia atayafuta nani?

Machozi ya Kassim Majaliwa atayafuta nani?

Machozi ya Bashiru Ally … atayafuta nani?

Machozi ya Polepole atayafuta nani?

Machozi ya mama Makufuli atayafuta nani?

Machozi ya watanzania atayafuta naaaaa aaa, atayafuta naaa aaah atayafuta nani?


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form