Pakua Lyrics by Mbosso Ft. Rayvanny

 


Mbosso Ft Rayvanny – Pakua Lyrics

Click ^^ to Download Mbosso Music     


(It’s S2kizzy beiby)

Yii! 
Aka kana kiuno laini cha kucheza baikoko (Koko)
Nikikaona natamani tu nichambe doko (Doko)
Na roho kana tatu kwa mbili hapana si kimoko (Moko)

Aah! aah! 
Chenga kwa mwili ka Gere John Boko
Chii! 
Eeh! Ah! Hallo
Kanavyo isheke isheketua (Isheketu)
Aka, kamaana kingili, anavyoicheketua (Cheketu)

I say niletee niletee (Niweke!)
Aah! niletee (Niweke!)
Niletee mpaka chini (Niweke!)
Unaogopa nini? (Niiweke!)

Oh! Baby niletee niletee (Niweke!)
Oh! Niletee (Niweke!)
Mpaka juu darini (Niweke!)
Kusi na kasikazini

Pakua! 
Oh! Paku
Pakua Pakua 
Uno la pocho Kochi
Asa pakua, Aah! ah!
Pakua pakua
Ka kisamvu cha kopo [Oya! Pakua paka tu!]
Pakua pakua, pakua
Eh! Pakua pakua, pakua

To get Mbosso Album "Definition of Love" Click


[Vanny Boy]
Mmmh!
I say ilee, iletete
Mtoto punguza mapepe, acha kitee, kitetete
Nivunjevunje niwe kiwetete [Ayee!]
 

Oh! kipo taabu, katoto kamepungua (Sepetu)
Kipele kikiwasha, si kuni nakakwarua (Keketu)

Mtoto kashika fimbo ya babu, namshikisha adabu
Wasotupenda twawapa tabu, tunawaimbia taarabu

Hao!
Hawana, hawana la kusema hawana
Hawana, hawana la kusema hawana

I say niletee niletee (Niweke!)
Ah! niletee (Niweke!)
Niletee mpaka chini (Niweke!)
Unaogopa nini? (Niiweke!)

Oh! Baby niletee niletee (Niweke!)
Oh! Niletee (Niweke!)
Mpaka juu darini (Niweke!)
Kusi na kasikazini

Pakua! 
Oh! Paku
Pakua Pakua 
Uno la pocho Kochi
Asa pakua, Aah! ah!
Pakua pakua
Ka kisamvu cha kopo [Oya! Pakua paka tu!]
Pakua pakua, pakua
Eh! Pakua pakua, pakua

Oya baby, sisi, ndege laachia sa (Funga mkanda)
Eeh! baby, sweety, za kushoto kulia (Msongomsongo)

Jamani popo popo, amsha popo (Amsha popo)
Nasema popo popo, leo popo (Amsha popo]

(Ka Mix Lizer)

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form