Beka Flavour – Libebe Lyrics

Beka Flavour – Libebe Lyrics

[Verse1]

NIfanye nikuone kioo Kwako nijatazame eh
Nifunike kwa upendo kwingine nisione he
Nifanye nijione me stronger kwako ni simame eh
Nipepee kwa upendo pressure inishuke eh..

(Niweke kwenye sayari nzuri ya mapendo
Niishi nikifurahi me na wewe nionyeshe mapendo
Tena kwa vitendo maneno yasituharibie x2)

[Pre-Chorus]

Asalale ka moyo nahisi umekachanja chale
Eh tupo sale sale we na mimi tubaki pale pale
Oh asalale ka moyo nahisi umekachanja chale
Eh tupo sale sale we na mimi tubaki pale pale

[Chorus]

(Penzi letu “Libebe”
Usilichuje kwa chujio “libebe”
Wouwowowowoo “libebe”
Usilishushe uninio “libebe” x2), eh

[Verse 2]

Chakula hakipiti kinywani ukiwaga mbali na nyumbani
Cheki moyo unavyokwenda mamy
Apite mbali ibirisi shetani
Unakila sababu ya kuuteka moyo wangu (wangu)
Haya simami yana dunda mapigo ya moyo
Baki kwangu

[Pre-Chorus]

Asalale ka moyo nahisi umekachanja chale
Eh tupo sale sale we na mimi tubaki pale pale
Oh asalale ka moyo nahisi umekachanja chale
Eh tupo sale sale we na mimi tubaki pale pale

[Chorus]

(Penzi letu “Libebe”
Usilichuje kwa chujio “libebe”
Wouwowowowoo “libebe”
Usilishushe uninio “libebe” x2), eh

[Verse 3]

Wangu sinyorita baki mimi usije ukatoroka
Wenye magari wakaja kukuteka ukaniacha mimi naangaika
Hey! Leo wangu sinyorita baki  mimi usije ukatoroka
Wenye magari wakaja kukuteka ukaniacha mimi naangaika

[Outro]

Heyyeiyeeh
Libebe
Uhu! Babyy
Libebe
Uhu! Babyy (baby0
Libebe
Uhu! (Baby)

(Libebe x4)

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form