I Miss You Lyrics by Rayvanny ft. Zuchu


I Miss You Lyrics by Rayvanny ft. Zuchu


[Eyolizer]
[Sound boy]

Hivi, bado una hasira
Bado unanichukia
Bado unakinyongo

Moyo wako nishazira
Bado unani nunia
Hivi bado unausongo

Kusema bora tuwachane
Ndo Kauli Inaniuma kila nikikumbuka usi tafutani
Sikujua narusha jiwe ndege ukapeperuka
Tisijuane nilisema kwa Sira
Naona unajuta usinitukane
Namba yangu nyingine usije futa

Sipendi, tuchukiane
Naugua, kila nikikumbuka zamani
Sisemi, turudiane
Najua, kwa kuwa ningumu haiwezekani
Ila, I want you to know
I miss you [I miss you baby]
I miss you [Aaah!]
I miss you [Nakukumbuka wewe]
I miss you [I want you to know]
I miss you [Nakukumbuka wewe]
I miss you [Nakukumbuka baby]
I miss you [Ooh aaa yeah]
I miss you [I miss you]

Zuchu

Aaaaaah, Aaaaaah, Aaaaaaaah
Alisema Sele Gogo
Penzi ni kama mmea
Hauchafui muogo
Pale pasipo mbolea
wee, vilikushinda vidogo
Hata vya kunitetea
Vikaondoka vifijo
Nderemo zikapotea

Ni yaya moyoni mwangu
Wewe ulijaza miiba
Nikupe pole mwenzangu
Pengo lako limezibwa
Waendelea na wafuga kucha
Kina Sidika na Huddah
Kili kiuzile ee Ooh!
Ila tambua, kamaliza bucha
Twazidia na ukubwa
Nyama ile ile

Sipendi, tuchukiane
Japo najua
Mungu amenilinda na mengi
Nasisemi turudiane
Hilo tambua
Nili nilipovunja sijengi
Nanikosa la maa

I miss you, Ooh! Hey
I miss you, weeh! Niache
I miss you, I'm doing just fine [ I miss you]
I miss you
I don't miss you, no no no no no [I miss you] no no no nooo
I miss you
hey
I miss you

Aaah! [Aaah]
Aaaaaaaah!
Mmmh!
Ooooh!
I'm doing just fine
hey hey hey yeah

WASAFI

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form