Wanguvu Lyrics - Khaligraph Jones ft. Alikiba

 Wanguvu Lyrics - Khaligraph Jones ft. Alikiba

Intro

Chorus

Niko na gari nabebesha mathree (Oh! mathree)

Madem ni sare tunabeba for free (for free)

Maboy wang’are kaa huja tripa huingii (Yeiyee Ooh! uu)

Vee kuko shwari imebidi wametii

Kaa zimekunice basi upige manduru (upige manduru)

Hizi baraka ni zote za Mungu (za Mungu)

Mali safi pengi lazima akuwe wa nguvu (wa nguvu, wa nguvu)

Juu mi ni msela wa nguvu (wanguvu)

Khaligraph Jones

Mi ndo huletanga vurugu (vurugu)

Na vile nawaroga chama ni juju (Raa raaa raaa)

Sjai kua mnyonge mimi ni sugu (Iyeee)

Na case hujaijua Omolo na Kiba uwanga mandugu (Jones)

Niko na pesa na show mi nalipwa mita na nusu

Compe ni pressure bado unajua wanalipwa marupu

Mashori wameweza watoto bha kenya wote ni wasupu

Bado tuko bongo na lazima mi nitapita na mtu

Chorus

Niko na gari nabebesha mathree (Oh madhree)

Madem ni sare tunabeba for free (for free)

Maboy wang’are kaa huja tripa huingii (Yeiyee ooh! uu)

Vee kuko shwari imebidi wametii

Kaa zimekunice basi upige manduru (manduru)

Hizi baraka ni zote za Mungu (za Mungu)

Mali safi pengi lazima akuwe wa nguvu (wa nguvu, wa nguvu)

Juu mi ni msela wa nguvu (wanguvu)

Alikiba

Chap chap

Money chap chap now

You care me more, you make it crap crap crap

Na umenivalia guch ya gistrii

Girl I’m not yours to that you kill me

(Eeh)

Now sasa tupa (Tupa)

Kiuno tupa (Tupa)

Show them you can tupa (Tupa)

Kiuno tupa (Tupa)

Girl unanibamba sana

Ooh! my girl unanibamba sanaa

Chorus

Niko na gari nabebesha mathree (Oh mathree)

Madem ni sare tunabeba for free (for free)

Maboy wang’are kaa huja tripa huingii (Yeiyee Ooh! uu)

Vee kuko shwari imebidi wametii

Kaa zimekunice basi upige manduru (manduru)

Hizi baraka ni zote za Mungu (Za Mungu)

Mali safi pengi lazima akuwe wa nguvu (wa nguvu, wa nguvu]

Juu mi ni msee wa nguvu (wanguvu)

Khaligraph Jones

Aaah!

Mi ni msee wa nguvu

Msee wa power

Ndo kuwe dis ai piga tei na dawa (At tei na dawa)

Ye dawa na tei

Makalao kwa milango battle wana say

Wanataka jua ka natumianga madrei

Lead kila siku ni ka nimepandanga bei

Nipate zaba juu ya shisha mitishamba napraise

Na kila siku ni mazishi mi hulala kwa grave

Nipo na Kiba tuko pande za Dodoma tunanice kwa sherehe tunamalizia Dar-Es-Salaam

Mali safi ka ni safi hakuna haja ya intro

Najitokeza nikisema habari madam

Anataka jua ka nimejipin mi nasema yes bwana

Na si eti nimekali magun

Anajua kunifanya ile kitu

Na kila mi hutaka kwenda yufanya karia koo

Chorus

Niko na gari nabebesha mathree (Oh! mathree)

Madem ni sare tunabeba for free (for free)

Maboy wang’are kaa huja tripa huingii (Yeiyee Ooh! uu)

Vee kuko shwari imebidi wametii

Kaa zimekunice basi upige manduru (manduru)

Hizi baraka ni zote za Mungu (za Mungu)

Mali safi pengi lazima akuwe wa nguvu (wa nguvu, wa nguvu)

Juu mi ni msela wa nguvu (wanguvu)

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form