Maombi ya Mama Lyrics ft. Adasa - Khaligraph Jones

Maombi ya Mama Lyrics ft. Adasa - Khaligraph JonesMaombi ya Mama Lyrics ft. Adasa - Khaligraph Jones

Maisha yalinichonga
Ikabidi nimesaka (ikabidi)
Maana, mateso yalikuwa mengi
Mama hana ata peni
Hakuna chakula nyumbani
Maji mpaka mtoni

Asante asante [ee! Oh! Asantee!  [Oooh! Asante Baba]
Asante asante [ee! Oh! Asantee!! [Oooh! Asante Baba]
Asante asante [ee! Oh! Asantee!! [Oooh! Asante Baba]
Asante asante [ee! Oh! Asantee! [Oooh! Asante Baba]

Nimekuwa zablin nikijipanga ndo mi nisepe
Hakuna mahali imeandikwa ati lazima niteseke
Nakumbuka tukikosa tukipigwa mateke
Landi akituchuja keja tukivukisha tarehe
Ya kuganjisha rentiko ju zing hakuwa na any kwa benkiko
Nakumbuka ile time alikuanga ati amekafunga
Kujipendekeza kwake, these are strange people
Coz after aloose job ivo ndo walilost
Haakuna ganji na keja kubwa inaeza wahost
That’s when I learned that when you broke
You don’t matter the most
Ju ata marelatives manze wote walitughost
Shida ndo hufunza binadamu jinsi ya kujikaza
Kitu ilikuwa imebaki ni si kurudi mushadha
Its hella painfull mpaka leo nikiwaza
Ju tungekuwa wapi bila maombi ya madha

Maisha yalinichonga
Uuuh! Ikabidi nimesaka (ikabidi)
Mateso yalikuwa mengi
Mama hana ata peni
Hakuna chakula nyumbani
Maji mpaka mtoni

Asante asante [ee! Oh! Asantee!  [Oooh! Asante Baba]
Asante asante [ee! Oh! Asantee!! [Oooh! Asante Baba]
Asante asante [ee! Oh! Asantee!! [Oooh! Asante Baba]
Asante asante [ee! Oh! Asantee! [Oooh! Asante Baba]

Wausema education is the key
But let’s agree tunaeza agree ku disagree
A younger me thought ntapata kadegree
Then nikamada highschool kama nimescore ki D
But D+ inaeza kupeleka wapi na form kiasi ikijipa uko lucky
But would you believe it if I told you that I was happy
But si ati story ya chuo mi nilikuwanga staki
Coz’ I dropped out for three years before nijoin seco
Hakukuwa na doh ya fee ama msee wa kuisettle
My decision to go back to school thereafter
Was a choice that I made ndo nifunge iyo chapter
And I know my parents tried their best
Coz a generational curse was laid to rest
na yes, sikufika uni but nilisafisha rada
na sijui ingekuwa vipi bila maombi ya madha
 
Maisha yalinichonga
Ikabidi nimesaka (ikabidi)
Mateso yalikuwa mingi
Mama hana ata peni
Hakuna chakula nyumbani
Maji mpaka mtoni

Asante Asante [Ee! Oh! Asantee!  [Oooh! Asante Baba]
Asante Asante [Ee! Oh! Asantee!! [Oooh! Asante Baba]
Asante Asante [Ee! Oh! Asantee!! [Oooh! Asante Baba]
Asante Asante [Ee! Oh! Asantee! [Oooh! Asante Baba]

Mtaa yenye tulikuwa ilikuwa ni giza hakuna light uko mwisho
Generational curses result tu ni kifo
Diabetes na blood pressure 
Izo ugonjwa zitakumurder only ka unalack pesa
And this am saying ju ni kitu nimewitness
My dad was a victim and he passed from this sickness
All along we were trapped in this system
Hoping that siku moja vitu zitakuwa different
Am telling yu’all about vitu mi huwa sibongi
So that uanderstand reason me huvalue maombi
Kuna time unaeza kwama na vitu hazisongi
But keep strong real winners huwa hawakondi
 I contemplated suicide nilichoka na  maisha
Eventually I pulled through na nikashinda vita
Na hivyo ndio nakuanga ibaada
na hapa nimefika ni ju ya maombi ya madha God Bless

Maisha yalinichonga
Ikabidi nimesaka (ikabidi)
Mateso yalikuwa mingi
Mama hana ata peni
Hakuna chakula nyumbani
Maji mpaka mtoni

Asante Asante [Ee! Oh! Asantee!  [Oooh! Asante Baba]
Asante Asante [Ee! Oh! Asantee!! [Oooh! Asante Baba]
Asante Asante [Ee! Oh! Asantee!! [Oooh! Asante Baba]
Asante Asante [Ee! Oh! Asantee! [Oooh! Asante Baba]

Asante Asante Ooh! Asante
Asante Asante Ooh! Asante
Asante Asante Ooh! Asante

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form