Sugar Lyrics - Jay Melody
Sugar Lyrics - Jay Melody


Heeeeee
Onanaana

(Mocko)

Sweet like kupa tamu Sana
Sweet like soup, am going to die
kwenye dimbwi sijiwez nimezamaa
Mi corazon my baby banana aa
Penzi hulifichi, Kama ni sindano itachomaaa
Mi siambiliki, hata wakaniroge kigomaaaa

Ukiugusa mwili wangu nashituka moyo paaaa
Mpenzi wangu nishike nisije nikapaaa
Kama mvua na mawingu
Kama mwezi na anga
Sina Jambo kwajinsi umenikamataa

Tena usinipege kiduchuuu
Sugar sugar sugar
My life is nothing without you
Sugar sugar sugar
Tena usinipege kiduchuuu
Sugar sugar sugar
Mmmmh! my life is nothing without you
Sugar sugar sugar
Mmmmh! Mmmmh!

Nikoleze my darling
Na tukichoka tukalaleee
Wanasema hatareeee
Lakini mimi nimekubali kileleni ndio paleee
Basi tufike sare sareee
Shika ndizi meshaleee
Nikuvue Kama kambaleeee

Vile hawapumuiii
Wakelekwe maadui
Hao wanafikiii
Watajua hawajuii
Ukiugusa mwili wangu nashituka moyo paaaa
Mpenzi wangu nishike nisije nikapaaa
Kama mvua na mawingu
Kama mwezi na anga
Sina Jambo kwajinsi umenikamataa

Tena usinipege kiduchuuu
Sugar sugar sugar
My life is nothing without you
Sugar sugar sugar
Tena usinipege kiduchuuu
Sugar sugar sugar
Mmmmh! my life is nothing without you
Sugar sugar sugar
Mmmmmh
onanaana
mocko genius

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form