Rayvanny - Wanaweweseka Lyrics


Rayvanny - Wanaweweseka Lyrics

Next level music
Oooooh! Ooh! Wanaweweseka hao!
[It’s your boe]
Wanaweweseka [Ayoo Raizer]

Wenye wivu sijinyonge, ila wapige short wafe
Kingasti wangu yuko hapa, usinishike bega niache
Nakupa yote mumunya, utamu wa pipi mate
Babie kwa mapenzi uko chuo-o, hauko tenda kindergarten
Marashi ya Pemba, amechanganya na tagau’
Mtoto kama Saida Karoli, anavyochambua karanga
Na simwaachi nampenda, ya pete mi chandau’
L O V E [I Love You], Kama Kassim mgangao

Pressure inapanda, pressure inashuka, wanaovimba watapasuka
Nikukupost namba Insta’ patachafuka, watatamani kuhack wajekufuta hao!
LELELE, wanaweweseka hao!
Na mikopa bado watoperusi, wanaweweseka hao!
Mama nipe mambo tuwaudhi, wanaweweseka hao!
Basi chekacheka ukidekadeka nunu, wanaweweseka hao!

Ndege eeh! ee Tausi My Mona
Ndege eeh! Ee umbo kifusi nyuma kishindoni
Nkubebe eeh! ee  Wenye chuki wakate shingo
Shida akilete, mi na buduki, nawatalindo
Undongo gani, ulokuginyanga mwali we?
Mganga gani, alopika manyanga mwali we?
Majungu simtaji [ayaya] maneno sio radhi [ayaya]
Jasho linawatoka maji, [I love you daddy] 

Marashi ya Pemba, amechang’anya na tangau
Mtoto kama Saida Karoli, anavyochambua karanga
Na simuachi nampenda, ya pete mi chanda oh!
L O V E [I Love You] Kama Kassim mgangao
Pressure inapanda, pressure inashuka, wanaovimba watapasuka
Nikukupost namba Insta’ patapasuka, Watatamani kuhack wajekufuta hao!
LELELE, wanaweweseka hao!
Na mikopa bado watoperusi, wanaweweseka hao!
Mama nipe mambo tuwaudhi, wanaweweseka hao!
Basi chekacheka ukidekadeka nunu, wanaweweseka hao!

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form