Benzema Ft. H_art the Band - Freshy Lyrics

 


Benzema Ft. H_art the Band - Freshy Lyrics


Mmmh!
Nah! Nah! Nah! Naah! 
Mmh
Freshy, freshy, freshy Nah! Nah! Nah!

We all need somebody, dada
Call me I will come running
Vako zako za summer bunny, dada
Zimenibamba zaidi ya wale

Baby I love the way you are going down, [Ah!]
Ukicheza kakitu twisty kilunda
Utapenda nikikuchezea kinanda, mama
Nitakulinda kama Wakanda, Forever

Marcellina sweet Marcellina 
Hio sio deMINI[?] na na inachizisha
Tunabaki shingo kupinda
Kwanza hio rinda, ikitingika
Freshy! Na ukicheza nitacheza
Freshy! Na ukisonga nitasonga
Freshy! Karibia tusakate densi, wacha ikuwe kesi

Nah! Nah! Nah!... Nah! Nah! Nah!
Nah! Nah! Nah!... Nah! Nah! Nah!
Nah! Nah! Nah! Nah! Nah! Nah!
Nah! Nah! Nah!

[Cheese!]
Freshy! Oh! vuyanzi mwana niko na wewe
Zituwai show kwa morio wangu na wewe
Umenipa pendo tangu jadi hadi wa leo
Tumevuka trouble nyingi tukiwa mavileo

Sasa wamefuata penzi letu kwa mitandao
Tumekuwa mfano wanatangaza kwa redio
Penzi letu limepita yote majaribio
Mambo yetu hayawahusu ndewe wala sikio
Yoh! Yoh! Yoh!
Hata tukikula chapo ndondo
Bado love iko moto moto
Maneno tam tam na matendo, na huo ndo mtindo

Freshy! Na ukicheza nitacheza [au!]
Freshy! Na ukisonga nitasonga
Freshy! Karibia tusakate densi, wacha ikuwe kesi

Nah! Nah! Nah!... Nah! Nah! Nah!
Nah! Nah! Nah!... Nah! Nah! Nah!
Nah! Nah! Nah!... Nah! Nah! Nah!
Nah! Nah! Nah!

Yoh!
Yo! Freshy! We ni Mekatilili wa Menza
A super woman and a wonder woman
Na spear ulipeleka wapi my woman
Nataka tu-hunt tuhame ringa

Nataka wewe uko cumbersome
Beer mbili troublesome
Toto penting kusota haram
Anataka Alenjandro anataka bam bam

Lakini uko na tabia weird [Gani?]
Fan wa Selina na Maria [Uwongo]
Mkwaju plus bhajia [Ni tamu]
Sunday service Lejo Maria

Freshy! Na ukicheza nitacheza [au!]
Freshy! Na ukisonga nitasonga
Freshy! Karibia tusakate densi, wacha ikuwe kesi

Nah! Nah! Nah!... Nah! Nah! Nah! [Aah!]
Nah! Nah! Nah!... Nah! Nah! Nah!
Nah! Nah! Nah!... Nah! Nah! Nah!
Nah! Nah! Nah!

Yoh! Freshy! I know you didn’t see this one coming
Alejandro, H_art The Band
Unajua ni moto, ni Freshy
Karibia tusakate densi
 

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form