Masauti ft. Trio Mio – No Stress Lyrics

Nostress​ is a Debut Single from Masauti ft Triomio 
 
Produced by Mavo on the beat 
Mixed & Mastered by Mavo on the beat
Video shot and Directed by Director Nezzoh monts (FILM GIANTS)Masauti ft. Trio Mio – No Stress Lyrics   

                                
Oh! Yeah! Yeah! Yeah!
[Aha Trio Mio]
Oh! Nah! Nah! Nah!
[Masauti Kenyan Boy 001]

No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun

[Mavo on the Beat]

I say… Burry your problems
For a minute thank God for your life
Oh!
Live true and honest to yourself you should never lie
Nah!
Usikufuru uchome, rada safi bora tu kuji~nice

Put a smile on your face
Haya maisha you live once
Whichever the matter the case Oh!
Nashukuru Mungu anabless Oh!

Usiskize maneno ya watu utakonda Eeh! [Utakonda Eeh]
Juhudu na hustle ni zako
Kujituma na kumwaga jasho
Chorea maneno ya watu utakonda Eeh! [Utakonda eeh]

Kama ni wa kushikisha [shikisha]
Ni wa kulewa, [lewa]
Ni wa kuchoma [choma]
Lewa shikisha

Kama ni wa kushikisha [shikisha]
Ni wa kulewa, [lewa]
Ni wa kuchoma [choma]
Lewa shikisha

No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun

No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun

Unataka kujibamba usiogope
Basi kula tungi mpaka ulewe tepe tepe
Yani hapa leo full sheshe
Pombe ni nyingi na zipo aina zotee

Shiro nishatuma fare
Utakuja ama utakula?
Kina carol wako juu ya mashisha
Wanavuta wakichachisha

Shiro usikule fare
Nishatuma basi we kuja
Kina carol wako juu ya mavela
Wanavuta wakichachisha

Mbona tujitie stress
Si tunakula bata, ile kinyama
Sitaki mtu anipimie
Nafanya nachokitaka, ni yangu hela

Kama ni wa kushikisha [shikisha]
Ni wa kulewa, [lewa]
Hgh!
Ni wa kuchoma [choma]
Lewa shikisha

Kama ni wa kushikisha [shikisha]
Ni wa kulewa, [lewa]
Ni wa kuchoma [choma]
Lewa shikisha

No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun

No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun

[Trio Mio]

Niko stress free, na mbogi ya mashuksha
Sinia ina sambusa za kishelisheli
Watu ni kujaza belly, ndio Mwaura asiitike
Kamnyweso kakishika usijiaibishe
Hapo fiti nina flow ka sakafu imenyeshewa
Umelemewa, usi pro usijichoche utakemewa
Over there kuna wasupa wana machupa za Belaire
Konyagi wako pale hao tushawazoea

Trio dogo janja, msela wa majanta
Nina Masauti nawakunywa kama Fanta
Fun tuna have sa madem waje chapchap
Hapa ukilegeza joh! utatiliwa mataptap

No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun

No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun

Kama ni wa kushikisha [shikisha]
Ni wa kulewa, [lewa]
Ni wa kuchoma [choma]
Lewa shikisha

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form