Lava Lava ft Mbosso - Basi Tu Lyrics

Song:     Basi Tu

Artist:    Lava Lava Ft. Mbosso

Album:    Promise EP

Licensed to YouTube by:    Ziiki Media South Africa (on behalf of WASAFI LIMITED aka WCB)


Lava Lava ft Mbosso - Basi Tu Lyrics


Siku hizi hanipigii, hata akikuta missed call zangu

Simu hashiki, na akishika anauliza nani mwezangu

Mara anakata, mara simu hewani haongei, namaliza vocha

Anajizima data, eti amepanda bei, kunifanya ndodocha

Eeh! Eeh! eeh!

Najitumisha message, mara mbili mbili

Anafungua anasoma, majibu hayarudi 

Eh! Eh! Eeeh! 

Ila kwa Whatsapp page, zaonyesha tiki mbili

Kujifanya hajaona, ili mradi kusudi na kunidharau


Ananiringia ringia [akaniona, anajishebedua]

Ananiringia ringia [hata nikimuita eti anajishebedua]

Siku hizi ananiringia ringia [akaniona, anajishebedua]

Ananiringia ringia [eeh! Eeh! Anajua nampenda]


Basi tu [Anafanya kusudi kuniumiza] 

Basi tu [Ili mradi kuniliza]

Ila basi tu [Anafanya kusudi kuniumiza]

Basi tu [Ili mradi kuniliza]

Aah! ...aaah! ...aaah…Oooh!


Na dhalia hainaga suu, yaliyosemwaga ya kale

Kufurahia kunguru nafuu, wakigombana mbalale

Moyo unawaka moto kifuu, yanichoma maumivu mshale

Enyi malaika mlio juu, shusheni amani itawale

Nayamaliza madhehebu, kusomewa madua

Mbolea imekausha mbegu, imeshindwa chipua


Tazama, niliompenda kwa sana

Leo ana’nifanya mi nalia

Ina maana, ndo nimechokwama

Au jamaa, sina fungu kwenye[?] dunia


Najitumisha message, mara mbili mbili

Anafungua anasoma, majibu hayarudi

Ila kwa WhatsApp page, zaonyesha tiki mbili

Kujifanya hajaona, ili mradi kusudi, na kunidharau


Ananiringia ringia [Ananiringia]

Ananiringia ringia [Ananidengulia]

Siku hizi ananiringia ringia [Anairusha rusha roho yangu]

Ananiringia ringia


Eeh! Eeh! 

Anajua nampenda 

Basi tu [Baaaa-si, anafanya kusudi kuniumiza] 

Basi tu [Ili mradi kuniliza]

Ila basi tu [Anafanya kusudi kuniumiza] 

Basi tu [Ili mradi, ila nenda]


Nenda mwambie asante[Nenda mwambie…]

Mwambie asante[asante sana]

Nenda mwambie asante [Ooh! mwambie]

Mwambie asante [Nashukuru sana]

Nenda mwambie asante

Mwambie asante [Kanifunza maumivu nilikuwa siyajui]

Nenda mwambie asante [Nilikua siyajui]

Mwambie asante [Ustahimilivu nisilipize uadui]


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form