Nadia Mukami - Nipe Yote Lyrics

EVENS CREATIVE HUB  presents to you Nadia Mukami's 15th studio single.Nadia Mukami is an award winning female artist from Kenya and has fast been gaining global audience & popularity with her fluent swahili lyricism, mellow voice and soothing melodies. Nadia Mukami has been nominated at the MTV Awards under the category, Fanbase Award. " NIPE YOTE " is a sultry swahili banger whereby Nadia Mukami praises her love for her man.

Executive Producer: Sevens Creative Hub

Audio Produced by: Kimambo Beats

Performed by: Nadia Mukami

Video Directed by: Jijo Drum

Nadia Mukami - Nipe Yote Lyrics

[Kimambo on the Beat]

Haya Mapenzi kama bahari inazama, acha yanipige 

Nimeshakwama penzi la huyu mvulana, sijui nifanyeje

Unanishangaza Eeeeh! Eeh! tamu switi mi nakolea! 

Unaniliwaza Eeeh! Eeh! jinsi mambo unavonipea...

Na jinsi tamu inavyoingia, ni kama keki ya vanilla

Na nikwambie jinsi najiskia, nikiikosa nitalia

Na jinsi tamu inavyoingia, ni kama keki ya vanilla

Na nikwambie jinsi najiskia, nikiikosa nitalia

[Ooh! Baby tena] Nataka kidogo

[Aaah ah!]

Nipe tena [Nipe yote]

Nataka kidogo [Aaah! Ah!] Nipe tena yote yote!!

Nataka kidogo [Aaah! Ah!] Nipe tena [Nipe yote]

Nataka kidogo [Aaah! Ah!] Nipe tena

[Yote Yote]

VERSE 2:

Aah! Haina maana, umenishika tighti 

Umenibana unanifanya, kwako sifurukutii

Unaponimaliza, kwa sauti yako ukiniita 

Yaani kama Diva, Cinderella Sinyorita 

Penzi letu limenona, nani kama wewe

Unanifanya mi nakoma, kufata mwengine

Na jinsi tamu inavyoingia, ni kama keki ya vanilla

Na nikwambie jinsi najiskia, nikiikosa nitalia

[Ooh! Baby tena] Nataka kidogo

[Aaah! Ah!] Nipe tena [Nipe yote]

Nataka kidogo [Aaah! Ah!] Nipe tena [Yote Yote]

Nataka kidogo [Aaah! Ah!] Nipe tena [Nipe yote]

Nataka kidogo [Aaah! Ah!] Nipe tena [Yote Yote]

 Nataka kidogo[Aaah ah!] Nipe tena [Nipe yote]

Nataka kidogo [Aaah ah!] Nipe tena [Yote Yote]

Nataka kidogo [Aaah ah!] Nipe tena [Nipe yote]

Nataka kidogo [Aaah ah!] Nipe tena [Yote Yote]

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form