Vivian x Prezzo x Nyce Wanjeri – Uko Tu Sawa Lyrics

Vivian x Prezzo x Nyce Wanjeri – Uko Tu Sawa Lyrics

Prezzo: Ona nani ameingia

Nyce Wanjeri: Hello

Presso: Mambo

Nyce Wanjeri: Madam, Ooh! kababa  Hahahaha! Ooh! sasa kababa

Madam, pole nimechelewa, wacha niwatengenezee breakfast

Vivian: Ah! Ah! Ah! wee, wewe keti tu, leo ni siku yako, keti tu

Prezzo: Mmmmh!

Nyce Wanjeri: Niketi

Vivian: Wee Keti tu hapa.

Nyce Wanjeri: Kwani unanifuta madam?

Vivian: Ah! Ah!

[…….]

Najua nina shida, siwezi kosa kosoro, kila mmoja anayake

Niliumbwa nilivyo, ata nawe ulivyo

Nika sawa, uko sawa

Nikingangana leo, tena niweke bidii

Naeza pata kesho nokose kesho nikipata leo


Naeza jifanya leo venye niko juu,kesho aliye chini ako juu

Ya kawaida, ni hali ya dunia

Endelea tu [uko tu sawa]

Hapo tu [uko tu sawa]

Tafuta tu [uko tu sawa, niko tu sawa]

Endelea tu [uko tu sawa]

Hapo tu [uko tu sawa]

Tafuta tu [uko tu sawa, Aaah! niko tu sawa]


Mambo mob hayakuenda nilivyo tarajia

Vikwazo vikinikata njia

Watu fakey wakinisaliti

Bulllshit promises wakiniahidi

Wengi wao just out there to use you

Tabia zao ka zimeliwa na wadudu

Wanafiki yani player hating roaches

Wakijaribu kudistract my focus


I’d rather stay strong home boys niko smart

Cash money brother tunawika, ati whaaat

I’m laughing at them when they pissed and mad

Waki-run their mouths abouts this and that

Nikiwaclap and lyrically shotting bullets

Close to the end CMB to the fullest

Hadi mwinsho I’mma represent

Nikiwa kwenye front line


Niking’ ang’ana leo tena niweke bidii

Naeza pata kesko nikose kesho nikipata leo

Naezajifanya leo vyenye niko juu

Kesho aliye chini ako juu

Ya kawaida, ni hali ya dunia


Endelea tu [uko tu sawa]

Hapo tu [uko tu sawa]

Tafuta tu [uko tu sawa, niko tu sawa]

Endelea tu [uko tu sawa]

Hapo tu [uko tu sawa]

Tafuta tu [uko tu sawa, niko tu sawa]


Naezajifanya leo vyenye niko juu [niko juu]

Kesho aliye chini ako juu [ako juu]

Ya kawaida, [ni kawaida] ni hali ya dunia [njia panda njia shuka]


Naezajifanya leo vyenye niko juu [niko juu]

Kesho aliye chini ako juu [ako juu]

Ya kawaida, [ni kawaida] ni hali ya dunia [njia panda njia shuka]

Aaaaah! aaah! Aaaaaah! Aaah!

Aaaaaaah! aaah! Aaaaaaaah!


It doesn't matter how low you are. Your Maker is not done with you #Vivian​ #UkoTuSawa​ #Prezzo​

STREAM /DOWNLOAD :https://smartklix.com/TukotuSawa(feat...​)

Song Conceptualization & Writing : Vivian & ControlBwoy
Prezzo lyrics are his own 👌
Audio - Zj Addikt
Audio, Mixing & Mastering - Jesse Bukindu
Video - Sam West Studios
Main Shoot Location : Maiyan Resort Nanyuki
Helicopter: Tropic Air Nanyuki & Soames Hotel Nanyuki
Drone - Nesh
Camera - Crizo Mzeya
Editor - Ngatia
Logistics - Jeffe Boss
Lights & Rails - Talanta Institute 
Helicopter; Jamie & Philipa Tropic Air
Make Up; Rira Beauty
Vivi Styling; Samcy Fashions & Sassy Collections 
Prezzo Styling: Low-key Fashions
Vivi Hair; Golden Bubble Spa

Main Character - Nyce Wanjeri
Supporting Roles : Carolyne

Project Manager - Betty Mugo & Bruno Nathaniel
Project Logistics - Royal Music Africa (ViktaMtanashati)
Location Manager : Lord Gichohi

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form