Rayvanny New Song - Lala Lyrics Ft Jux

Lala Lyrics by Rayvanny Ft. Jux


Lala lala lala 

[VannyBoy]

Lala lala lala 


Jux

Nawaza usingetokea ningeongea nini leo [La aaa!]

Bila ya penzi lako 'nge-enjoy nini leo [Aah aaa!]

Imekuwa bora alivyopotea ukatokea wewe leo

Tena bila huruma yako ningetamba wapi leo [La aaa!]

Kwenye baridi nikukumbate upate joto [Aah aaa!]

Twende kwa bibi atupe baraka tuzae Watoto

[Eeh! Ee! Yee!]


Ngozi laini mtoto sop-sop 

tumbo la kuvalia croptop

Vanessa wa nini we don't talk talk

sitaki shobo nishablock-block

Iyee!


Lala la lala lala [lala kifuani]

Lala la lala lala [kichuna ng'ang'a usinzie]

Lala la lala lala [nibembeleze nikuimbie]

Lala la lala lala [la la la]

Mmmh! Mmh!

Laa lala


Rayvanny

Nikimwita sukari ananiita asali, lamba lamba pipi

Kuku mwenye kidari, shepu ngangari ya kuvunja kiti

Kanifunika mbawa, za upendo wake hunibeba kwenda juu

Wakimponda sawa, hawajui ndio nazidi kumpenda

Usiku kwenye kimvuamvua, tukivuavua zima taa jilaze kwenye kifua

Unanijuajua nakujuajua massage ya mafuta nikikuchua

Ngozi laini mtoto sopsop, tumbo la kuvalia croptop

Fayma wa nini we don't talk talk, sitaki shobo nishablock-block [hey!]


Lala la lala lala [lala kifuani]

Lala la lala lala [kichuna ng'ang'a usinzie]

Lala la lala lala [nibembeleze nikuimbie]

Lala la lala lala [la la la]


Lala la lala lala [lala kifuani]

Lala la lala lala [kichuna ng'ang'a usinzie]

Lala la lala lala [nibembeleze nikuimbie]

Lala la lala lala [la la la]

Mmmh! Laa lala


[Wasafi]

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form