Sherehe Sheria Lyrics by Joefes, iPhoolish, Fathermoh, Mbuzi Gang Ft. Jovial

Sherehe Sheria Lyrics by  Joefes, iPhoolish, Fathermoh, Mbuzi Gang Ft. Jovial

Mi mang’aa napenda life

Napenda dame’ anajidai ati amevai

Kama ni looku piga white ni kama amedae

Ako machingri mangwai, na beer lite


Uuuuuh! kukata maji ni sheria [Aiyayaya]

Warukera inama chuchumia [Ala]

Hio ni mwiko si miwa umekalia [Haiyaa!]

Ni sherehe na haitaki masheria, sheria

Nadai mucome, kuna sha Nadia Mukami [Wooh!]

Sheria lazima mfuate juu ya serikali

Askari, sura yake wavy ka ya Khali

Kali Sa lazima ufuate kodi

Sarkodie bash hatuwezi get cosy

Corona, corona tulishikiwa kwa kona

Na mbona unaendesha ni kama uko na cholera

Afande Sir!


Sheria pia ni wera [Wah!]

Kukata maji, mnajifanya Musa

Nanusa watoi mliomba nani ruhusa

Kipusa, this time tulibeba Jovial [Uuuu!]

Mbuzi ndio rende, hatutaacha za ovyo


Mi mang’aa napenda life

Napenda dame’ anajidai ati amevai

Kama ni looku piga white ni kama amedae

Ako machingri mangwai na beer lite 


Uuuuuh! 

Kukata maji ni sheria [Aiyayaya!]

Warukera inama chuchumia [Ala!]

Hio ni mwiko si miwa umekalia [Haiyaaa!]

Ni sherehe na haitaki masheria, sheria


[Jovial]

Nakata maji nasambuka, nikibleki nazinduka

Shetani amepanda jini mkata kamba [serikali naipindua]

Mi ndo kiboko yao, wakisleki tunapita nao

Tena haina kuchao, yaani Huuh! baby we ndo mama yao


Afande pita ndani, yaani we chuma ina lala ndani

Shamra shamra za kibabi, Uuh! we enjoy the party

Tunapiga sherehe, yaani mpaka kuche

Tunapiga sherehe, yaani mpaka kuche


Mi mang’aa napenda life

Napenda dame’ anajidai, ati amevai

Kama ni looku piga white, ni kama amedae

Ako machingri mangwai, na beer lite


Uuuuuh kukata maji ni sheria [Aiyayaya]

Warukera inama chuchumia [Ala]

Hio ni mwiko si miwa umekalia[Haiyaa!]

Ni sherehe na haitaki masheria, sheria


Kata maji you can’t bwogo me

Gidigidi maji maji can’t koro me

Thobo thobo kumguza chobo

Ashaskiza utamu hadi kwa kisogo [Uuuu!]


Kukata maji ni sheria, bu mbona sa unamix Konyagi ndani ya chang’aa furthermore, 

Unakataje maji na haujadishi, Fisi mimi bleki,

Dame’ yako mi nadishi, na kama ni vegeteriana bado atakula njiti* Nikiwa deep end deep ends, si ina depend depend

Bars kibao sa itabidi umenikunywa, 

Na ka hujaput hii si utabidi umejichuna


Mi mang’aa napenda life

Napenda dame’ anajidai ati amevai

Kama ni looku piga white ni kama amedae

Ako machingri mangwai na beer lite


Uuuuuh kukata maji ni sheria [Aiyayaya]

Warukera inama chuchumia [Ala]

Hio ni mwiko si miwa umekalia[Haiyaa!]

Ni sherehe na haitaki masheria, sheria


Tunapiga sherehe, yaani mpaka kuche

Tunapiga sherehe, yaani mpaka kuche

Tunapiga sherehe, yaani mpaka kuche

Tunapiga sherehe, yaani mpaka kuche


"Sherehe Sheria" by Mbuzi Gang ft. Jovial (Mbuzi Gang is Joefes, iPhoolish & Fathermoh) Produced and directed by Kashkeed

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form