Mtaalam Lyrics by Mbosso

 


Mbosso - Mtaalam Lyrics


[Insturmentals]

[Na Mbosso Khan tena]

[Sounds by Abbah]

Una kila sababu,ya kusimama kimasomaso
Mungu kweli wa ajabu, anionyesha kwa yangu macho
Chukua zangu swahabu, mi nibaki na dhambi zako
Unishikishe adabu, mida ya kulala nitokwe jasho

Mi sijui kupigana mwoyo wangu wa mapensi dear
Tusipende kugombana, mi mwepesi kulialia
Si kujibanabana, raha ya penzi kujiachia
Wako mahututi mama, nimekufa nimejifia

Eeeh! 
Nalambishwa asali, kwenye mzinga wa nyuki, tamu ni hatari
Nalambishwa asali, nachezeshwa buzuki, dudu chalichali

Nimempata!
Nimempata mtaalam nimempata
Nimempata mtaalam nimempata

Nimempata mtaalamu nimempata
Nimempata mtaalamu nimempata

[Instrumentals]

Mi m’Tanzania wa halali, ila chembechembe za India
Mungu kaninyima ufahari, ila kwa huba najisifia
Sitakuhonga magari, ila mahaba utasanzia
Penzi kachumbari kwa ugali, na pilipili ya kusagia

Aah! Eeh! 
Nikuite nani? Majina yote nishamaliza
Aah! Eeh! 
Wangu wa ubani, umeweza kunituliza
Aah! Eeh! 
Mambo ya chumbani, yaani nalala huku napulizwa
Aah! eeh! 
Penzi zito tani, napewa raha kupitiliza

Eeeeeeh! 
Nalambishwa asali, kwenye mzinga wa nyuki, tamu ni hatari
Nalambishwa asali, nachezeshwa buzuki, dudu chalichali

Nimempata! 
Nimempata mtaalam nimempata
Nimempata! 
Nimempata mtaalam nimempata
Mtaalamu wa mapenzi
Nimempata mtaalamu nimempata
Fundi wa mafundi kungwi
Nimempata mtaalamu nimempata
Wamapenzi nimempata

[Instrumentals]

[Kwa Mix Lizer]

[Wasafi]

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form