Karibu Lyrics by Mbosso Ft. Diamond Platnumz

Karibu Lyrics by Mbosso Ft. Diamond Platnumz

Abah!

[Ayo Lizer]

Ishafika saba sasa, tunakungojea
Imebaki miezi miwili tu, hebu siku sogea 
Tunashauku na bashasha, yakukupokea
Sio mimi na mama yako tu, na bibi anakuombea

Mmmmmh!

Imani yangu inanituma, unanisikia baba yoh! [Baba yooyo!]
Na furaha yangu dongo kumungunya, 
Anapobugia mama yooyo! [Mama Yoyoo! Yooh!]

Mmmmh! 

Dalili wazi wazi, kwa muda ushatawakal[?], 
Natamani useme zawadi, ila acha ninunue vigari[?]
Oooh! kuna shangazi kibiti kwa mzee Kikali, 
Ukiota meno ataleta viazi, ule mihogo uwe ngangari

[Ule miogo uwe Ngangari]

Kwanza nitakupa jina gani [talala talala lala Talala]
Kwanza karibu duniani baba [talala talala lala Talala]
Kwetu furaha isiyo kifani [talala talala lala Talala]
Ila kunamengi duniani baba [talala talala lala Talala]

Diamond Platnumz

Mmmmh!

Kwa furaha niliyonayo ningechinja ng’ombe kwa tambiko
Ila baba yako uwezo sina, pokea uji kwa kijiko

Pokea mwanangu [Ai! yoo yoo!]

Tena awape na habari, waropokaji wapambe
We ni wangu wa halali, wasijedhani dunia yake

Dunia ni mafuriko, mvua kwote, wanadamu moyo ya matope
Ukitukanwa mwiko, usiogope, jikaze mwana wa Dangote

Oooh! Wasimuone, [kimasomaso asimuone]
Mwenye jicho la chuki asimwone mwanangu [kimasomaso asimuone]

Oooh! wasimwone-ee kimasomaso [kimasomaso asimuone] 
Wenye roho mbaya wasimwone [kimasomaso asimuone] 

Sa ringisha tumbo ringa, sa baby ringa
waonyeshe ringaa, wadolishie ringa
Sa ringisha tumbo ringa, Oh! baby ringa, 
kwao si wanazitoa ringa
Asaa! wadolishie ringa [wakuone uowo!]

Kwanza nitakupa jina gani [Jina gani ooh! oh!] [talala talala lala Talala]
Karibu duniani baba, [Karibu Baba] …. [kwetu ni furaha]  [talala talala lala Talala]
Kwetu furahi sio kifani [ni furaha-aa]  [talala talala lala Talala]
Ila kunamengi duniani baba Yoo! Yo!  [talala talala lala Talala]

Ndo namnyema mwanangu [aah! yoyo kwa baby shower]
Oh! Rafiki wa ndugu zangu, [aah! yoyo kwa baby shower]
Furaha na uzazi wangu, [aah! yoyo kwa baby shower]
Naringaringa na mwanangu, [aah! yoyo kwa baby shower]

aah! yoyo kwa baby shower

aah! yoyo kwa baby shower

aah! yoyo kwa baby shower

aah! yoyo kwa baby shower

What Is Love?
Every person has his own Definition Of Love
The answer differ due to everyone's experience
But I brought to you my own Definition Of Love
Which is available on my Album
Kindly listen to DEFINITION OF LOVE
You will either get the meaning through my language or the melody i used!
Enjoy!

From DEFINITION OF LOVE Album
Track 8 - Karibu Featuring Diamond Platnumz

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form