Baikoko Lyrics by Mbosso Ft. Diamond Platnumz


Baikoko Lyrics by Mbosso Ft. Diamond Platnumz

[Ayolizer!]

Eeeh!
kako fine, Kila nikitaka kwenye line, bila bila
Show-wine, kwake nimelewa kama wine, tila lila

Ye! Sisimizi nami gegedu,tunagegeduana [Gege!]
Nilivyo sina jinsi, tajiri wa mbegu, namuonga na mwana

Baba mndenge mama mzaramo
Uno lake la kuridhi [Aah!] [Eeh!
Kafunga tenge mwali chakaramu
Shetani mwana ibilisi
Jipu [Jipu] Uchungu [Uchungu]
Mwana nyuma umejaza kishundundu
Kwenye zipu [Zipu] Kuna kirungu [Kirungu]
Usikamate utawaita wazungu

Eeh! Eeeh!
Babu mkuna nazi [Mkuna nazi]
Kachutama kishinani
Na msuli wake uko wazi [Uko wazi]
Mambo yote hadharani

Oghoghoghoghogho!
Mtoto anadaka, golikeeper Lunyamila
Wapecha tena akikata, anaitikisa

Baby acha uchezaga [Baikoko]
Unavyo baby [Baikoko]
Unavyonyonga [Baikoko]
Eeh! waonyeshe [Baikoko]

Baby acha uchezaga [Baikoko]
Unavyo baby [Baikoko]
Unavyonyonga [Baikoko]
Eeh! waonyeshe [Baikoko]

Asa komesha dengua dengua
Baby dengua dengua
Ringa dengua dengua
Deka dengua, dengua wakuone

Kanifonda la miguu
Anataka nipite peku [Peku peku]
Kunduchu juu, anifikishe kwetu [Kwetu kwetu]

Utamu ladha ya kitumbua
Rojo ya embe kibada [Kibada]
Hodari kunengua, miuno ya ushubwada [Shubwada]

Nyuma kalisasambua, kafungasha midavwada [Vwada]
Anavyotafuna muwa, ka-kibogoyo dada

Katoto kamelainika mwana [Mwana]
Hukapa ndizi banana [Bana]
Nakapeleka kwa mama, mama mama Dangote

Kama kuku twakimbizana [Zana]
Kanaibuka kanazama [Zama]
Ka mwali kana balaa na laana, Laana laana ka-zote

Ebo!
Mtoto anadaka, golikeeper Lunyamila
Wapecha, tena akikata anaitikisa

Baby acha uchezaga [Baikoko]
Unavyo baby [Baikoko]
Unavyoiona [Baikoko]
Eeh! waonyeshe [Baikoko]

Baby acha uchezaga [Baikoko]
Unavyo baby [Baikoko]
Unavyonyonga [Baikoko]
Eeh waonyeshe [Baikoko]

Asa komesha dengua, dengua
Baby dengua, dengua
Ringa dengua, dengua
Deka dengua, dengua wakuone

Anaifuata
Anainama anainuka mwali anaisusa
Kwa kujishebedua
Anainama anainuka mwali anaisusa

Kamata kimwana
Anainama anainuka mwali anaisusa
Kwa madoidoi
Anainama anainuka mwali anaisusa

Brrrrra!
[Kwa Mix Lizer]
Wasafi

What Is Love?
Every person has his own Definition Of Love
The answer differ due to everyone's experience
But I brought to you my own Definition Of Love
Which is available on my Album
Kindly listen to DEFINITION OF LOVE
You will either get the meaning through my language or the melody i used!
Enjoy!

From DEFINITION OF LOVE Album
Track 3 - Baikoko Featuring Diamond Platnumz

https://youtu.be/hGqzvvbZnyQ

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form