Koroga Lyrics by Masauti

Song:     Koroga
Produced by:    Bonga De alpha 
Mixed & Mastered by:    Bonga De Alpha 🇹🇿
Video shot and Directed by:    Director Dolls 🇰🇪
Powered by: DreamNation.ink & KBL FORMATION

Koroga Lyrics by Masauti


Masauti!

Kenyan Boy

…. 001

Mmmmmmmh! …

Penzi lake mwana shango
Moyo wangu kwake chambo, ndo ananifanya nawaza
Chozi langu wapi chanzo
Limegeuka tangazo, sisemi kanyamaza 
Mmmmmh!

 Sa yamenifikaga mani, yanapuputikaga mani, aki naumia
Mmmmh!
Sina pa kushika jamani, sijidhamani
Zangia!
Mmmmmh!

Mapenzi goroli nimedema
Ndovu kibori sina njema
Nina mengi ila nashindwa kusema 
[Mmmmh!]
Mwenzake sifichi zilipenya
Ata siridhiki nikihema
Japo sio chanda chema ah!

[Aaah!]
Mi umenikoroga, 
koroga koroga [Yo!]
umenikoroga, 
koroga koroga [Miiiii!]
Umenikoroga, 
koroga koroga [Aaah] 
umenikoroga, 
koroga korogaAaah! … 
Nikoroga …

[Aaaaah!] 

Labda penzi bahati mi
Kama sina ndio basi najichosha bana 
Mmmmh! …
Naezeka mabati, naziba nyufa, Ila yeye ndo analete panya aaah!
Aaah! [Mmmmh!]

Na mwingine ndani mi sina misi
Naotaga namkiss, huenda ndio yeye
Ana niumiza, hunda ndio yeye
Bari yangu nyambizi, huenda ndio yeye
Anaye nijulia, huenda ndiye yeye

Mapenzi ngoroli nimedema, ndovu kibori sina njema
Nina mengi ila nashindwa kusema 
Mmmmh!
Mwenzake sifichi zilipenya, ata siridhiki nikihema
Japo sio chanda chema, aaaah! 

Ah! mi umenikoroka 
Koroga, koroga [Yo!]
Umenikoroga, 
koroga koroga [Miii]
Umenikoroga, 
Koroga, koroga [Aaah!]
Umenikoroga
Koroga koroga [Aaah!] 
Umenikoroga …

Ningependezwa ata leo [aje] 
Ama Jina mi nimtaje [Je]
Ning’ependezwa at leo [aje] [Ooh!]
Ama jina miiiii [taje] nimtaaaje eeh!
Koroga, Koroga
Koroga, Koroga aah! [Koroga, Koroga]
[Koroga], Koroga koroga
Koroga koroga

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form