Otile Brown - Baby love Lyrics

Vera and Otile Brown in the Song Baby Love


Otile Brown - Baby love Lyrics

(Mmmmmh) (oooh) (eeeh yeeeeee)

[Verse 1]
Dhamani yako, uzuri wako,
naujua mwenyewe
Sikuachi pengine uniache wewe
Raha, Ili mradi unanipenda, peke yetu tutaishi kwenye dunia
Sikuachi pengine uniache wewe

Wewe ni jiko, we jiko langu
kama mboni ya macho yangu
Nitakulinda mpenzi wangu

Wewe ni jiko, we jiko langu
kama mboni ya macho yangu
Nitakulinda mpenzi wangu

Achana nao (nao)
Achana nao (nao)
(uuuh) achana nao
Hao wenye roho mbaya, wanatusema vibaya

Achana nao (nao)
Achana nao (nao)
(uuuh) achana nao
Hao wenye roho mbaya, wanatusema vibaya

Baby Love
Wewe wangu, mi wako wa moyo
Ooooh Baby love
Usije niacha kwa fitina na maneno yao
Baby Love
Wewe wangu mi wako wa moyo
Ooooh Baby love
Usije niacha kwa fitina na maneno yao

[Verse 2]
Huna habari jinsi gani moyo wangu unaupendeza
Wewe ndio furaha yangu, wewe ndo wa maini yangu

Wewe ni jiko, jiko langu
Kama boni ya macho yangu
Nitakulinda mpenzi wangu

Wewe ni jiko, jiko langu
Kama mboni ya macho yangu
Nitakulinda mpenzi wangu

Achana nao (nao)
Achana nao(nao)
(uuuh) achana nao
Hao wenye roho mbaya wanatusema vibaya

Achana nao (nao)
Achana nao (nao)
(Uuuh) achana nao
Hao wenye roho mbaya wanatusema vibaya

Baby Love
Wewe wangu, mi wako wa moyo
Ooooh Baby love
Usije niacha, kwa fitina na maneno yao

Baby Love
Wewe wangu, mi wako wa moyo
Ooooh Baby love
Usije niacha, kwa fitina na maneno yao

Baby Love
Wewe wangu, mi wako wa moyo
Ooooh Baby love
Usije niacha, kwa fitina na maneno yao

Baby Love
Wewe wangu, mi wako wa moyo
Ooooh Baby love
Usije niacha, kwa fitina na maneno yao

We ni jiko
Wewe jiko langu, kama mboni ya macho yangu
Nitakulinda mpenzi wangu

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form