Beka Flavour - Sikinai LyricsBeka Flavour - Sikinai Lyrics

[Verse 1]

Kama kinda la ndege nimetuliza na kwenye kiota changu
tena sina mawenge nipe ubawa wako ndo shuka yangu
Kama pombe mwenzako me umenilewesha sembe si dengu
tena bonge la boya Me kwako nimefika makoko matandu
Sina, mapepe ya mbuzi macho mbele nyuma
Nina, utulivu wa kondoo mwendo nainama eeh!
Sina tamaa za jogoo, kutaka kila tembe niwe nae
Wivu ni donda la roho, shida gani ukonde kisa mie

[Chorus]

Nyama ya kangaroo ukinipa nala
Sikinai kushiba sawa nini ooh! samaki ngalala
Nikajichoma mwiba na kangarooo
Ukinipa nala, sikinai kushiba sawa
Nini oh! samaki ngalala
Nikajichoma mwiba mama

Wakikutia doa nitakupa jik mamy, aya haya!
bado nipo nawe adhila kofanani aya haya

Wakikutia doa nitakupa jik mamy, aya haya!
bado nipo nawe adhila kofanani, aya haya!

[Verse 2]

Kwanza unanipetipeti mapenzi ya Tanga, ah ehee!
kwenye bed sichoki, unavyo nikanda
We ndo tanga na mimi mlingoti, nifunge na kanga, ah ehee!
Nisitue kijoti usije leta janga
Naona baridi, ooh! Lanisaka mawendo koti koti
Kwenye yetu ligi ooh! tukikutana unanikochi kochi
Mamy Mamy Mamy ooh! unanikosha mwenzio
Kwenye love unaongeza ma-love, unafanya na data mwenzio
Mamy Mamy Mamy ooh! unanikosha mwenzio
ukishika ndevu, ukitomasa mbavu unafanya na cheka mwenzio ooh!

[Chorus]

Nyama ya kangaroo ukinipa nala
Sikinai kushiba sawa nini oh!
samaki ngalala nikajichoma mwiba na Kangaroo
Ukinipa nala sikinai kushiba sawa
Nini ooh! samaki ngalala
Nikajichoma mwiba mama

Wakikutia doa nitakupa jik mamy, aya haya!
bado nipo nawe adhila kofanani aya haya

Wakikutia doa nitakupa jik mamy, aya haya!
bado nipo nawe adhila kofanani, aya haya!

[Verse 3]

Weekend twende wapi,
Chagua nakupa nafasi,
Gari au tupande farasi,
Cheers tugonge glass

Weekend twende wapi,
Chagua nakupa nafasi,
Gari au tupande farasi,
Cheers tugonge glass

Yee iyee

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Contact Form